WAKATI WA JIONI KUTAKUWAKO NA NURU.
Zekaria 14: 6 “Tena itakuwa siku hiyo, ya kwamba nuru yake haitakuwa na mwangaza na kiwi;
7 lakini itakuwa siku moja, iliyojulikana na Bwana; si mchana, wala...
Nafikiri hii ilikua kwa ajili ya usalama wa abiria na mali zake ? Au ni kwa ajili ya walipa kodi wengine huyu Abood yeye haimhusu ?
Nimeona taarifa kutekwa kwa kada wa Chadema aliekua ndani ya...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa ujenzi wa ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera kwa gharama ya...
Leo nakuletea baadhi ya makosa ambayo yalipelekea Sababu Mbalimbali kampuni au nchi kushindwa kwenye masuala ya Teknolojia ulimwenguni.
1️⃣ Tanzania kushindwa kumruhusu Elon musk Matumizi ya...
Hatimaye china imefanikiwa kuweka mpango madhubuti wa kuweza kuunda MbalaMwezi bandia nchini CHINA ifikapo mwaka 2027.
Hebu fikiria unatoka nje na kutembea usiku wa manane unakutana na Mwanga...
JamiiForums ni kama ulimwengu wa giza, kwa sababu kuna kila aina ya vitu unavyo vihitaji. Ndio mtandao unaoongoza kuwa na ID fake, asilimia 70% ya wanaotumia JF ni watu wasio julikana.
Siri zote...
Polisi Mkoani Geita linamshikilia Mtuhumiwa Mmoja aliyefahamika kwa jina la Nickson Johson (54) Mkazi wa Manispaa ya Geita anayetuhumiwa kuhusika katika Mauaji ya Mwalimu Dorosela Salvatory (45)...
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi Bilioni 19.6 kwa ajili ya Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari SEQUIP mkoani Njombe
Kati ya...
Uthibitishaji wa taarifa ni msingi unaowawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kutokana na Taarifa sahihi mathalani kipindi cha uchaguzi, hili linafanikishwa kwa mapambano dhidi ya taarifa...
Algiers, Algeria – Julai 17, 2025
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Geophrey Mizengo Pinda (Mb), ameiwakilisha Tanzania katika Mkutano Mkuu wa 44 wa mwaka wa Taasisi ya...
Imekuwa ikitokea habari za Upinzani Tanzania au habari ambayo watu fulani hawaipenda basi ile TV online na Insta page haziwekwi isipokuwa kwa jf pekee.
Je, wadau, tu unfollow zile page ili tuwe...
Kwa wanaopenda kusikiliza na kuyajadili mafundisho ya kikristo ya huyu mwalimu tukutane hapa. Mimi si mtu wa kuvutwa au kukubaliana kirahisi na hawa walimu wa biblia wa siku hizi ila kwa zaidi ya...
Ndala zinaheshimiwa sana vijijini kuliko mjini nimekuta watu wanafua ndala kusafisha sana kabla kuvaa na kutoka nje mtoko
Watu ndala ni vazi la kutokea wakati miji wanaidhalilisha ndala na...
Kuwapeleka watoto katika shule za Kiislamu ni uwekezaji muhimu kwa maisha yao ya kidini, kijamii, na kitaaluma. Shule za kiislamu zinatoa msingi bora wa maadili ya Kiislamu huku zikihakikisha...
Hakika nimejikuta nimezeeka.
Aisee kumbe unaweza ukafikiri bado wewe ni kijana. Kumbe vipindi kama hivi ndo vinakushtua.. USHAZEEKAA....
OYA.. kuna videmu hapa viko na Madera...
Lakini kuna...
What you need to know:
The feature allows businesses to receive and initiate voice calls globally, using WhatsApp’s native interface so customers never leave the app.
Global cloud communications...
Huku Kondoa mjini hapa kunao wakandarasi wamepewa kazi za barabara ila sasa ni wiki ya pili wamemwaga kifusi barabara za mtaani na wamemwaga katikati ya barabara mpaka pikipiki hazipiti inaleta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.