Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

JANA NILIANDIKA TUENDELEE KOMBA ONGEZEKO LA WATU WA KUJIUA LIMEONGEZEKA SA NA SANA AFISA MTENDAJI NAE KANYOOOKA KAAMUA KUJIUA RIP  AM
1 Reactions
5 Replies
408 Views
Everybody with less than Tshs 100,000 can convene the so called a "press conference' Do we have a stipulated standards of what we can account as a "press conference" ??? If we do ...what are...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Ety wakuuu Tz Kuna high unemployment rate Kwanini ni vibaya vijana kwenda nchi kama Qatar Saudi Arabia Oman UAE Kutafuta maisha. Sio sawa kwanini toeni mawazo?
1 Reactions
13 Replies
492 Views
Dar ambayo ndio Lango la Nchi huwezi Kuta interchange nzuri kama hii iliyopo Lilongwe-Malawi. Unajiuliza kwani hapa Tanzania Huwa Wahandisi wetu Wana shida gani kiasi ya Kushindwa ku design...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Ni vyema ikaeleweka kwamba pamoja na kwamba TRA ndio Ina jukumu mama la kukusanya Mapato ila Kuna taasisi pia zimekasimiwa jukumu Hilo pia.Baadhi ya taasisi hizo ni pamoja na Mamlaka za Serikali...
7 Reactions
109 Replies
10K Views
Hakuna watu wanaonaga wameyapatia Maisha, kama watumishi wa serikali wakiwa wamepanda kwenye hizi gari V8 Land Cruser Range Rover G-wagon Harier n.k...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari njema sana kwa wana JF wote. Mimi sio muandishi mzuri sana wa nyuzi ndeefu sana, hii nikwasababu nilipokua mdogo sana niliambiwa muda ni mali sana.. nasasa nilipo kua mkubwa nimebaini muda...
8 Reactions
27 Replies
953 Views
I salute you kinsmen. Kama nilivyoripoti mwanzo kuwa kuna tetesj programme nyingi udom katika ndaki ya elimu yaani college of education (COED) zitapunguzwa na kwanzia muhula huu hazitakuwepo ...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Wakati vita ya wenyewe kwa wenyewe nchini Libya inaanza, kampuni ya mitambo ya simu ya Huawei haikutaka kuachia biashara hata kidogo. Walichofanya ni wafanyakazi wa Huawei nchini Libya kujigawa...
0 Reactions
6 Replies
522 Views
Habari za wakuu, naomba mnisaidie mnipe,ushauri napenda sana kazi ya kuendesha mitambo mikubwa yaani scaveta,caterpillar Nataka nijipange nikipata ada niende nikajifunze je nikimaliza mafunzo kuna...
1 Reactions
2 Replies
233 Views
Wakati Rais Samia Suluhu anaingia madarakani watu walioagiza/kununua Vifaa vya Usafirishaji nje kama magari, pikipiki, baiskeli na vinginevyo thamani yavyo ilifikia $738.1 sawa na TZS1.9Trilioni...
0 Reactions
25 Replies
1K Views
Huko mavyuoni sitegemei kama kutakuwa tena na assignment ngumu ya kufanya wikiend ziwe ngumu Nawashauri wanaoteseka na mapenzi au wanaohisi kutengwa na watu wao wa karibu,ebu ingia humo chat nalo...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Daaaah! Eeeeh bwana eeeh, katika pitapita zangu huko mitandaoni leo nimekutana na hii video. Hivi harakati za utafutaji ndio zimetufikisha huku kweli? Utu uko wapi? Ubinadamu uko wapi? Tena hii...
0 Reactions
11 Replies
583 Views
Nimemsikiliza professor wa shule ya uongozi , chuma cha mjerumani ndugu" slowslow ", kwa Kujiamini kwake na namna alivyojipanga kusukuma kete zake. Niwazi mtu huyu alipata zaidi ya uzoefu wa...
4 Reactions
11 Replies
631 Views
Kwanini jamii ya Leo imekuwa na tabia ya kumhukumu mtu kiurahisi ? Kwanini hampendi kusikiliza upande wa mtu wa pili bila kumhukumu🥺?? Kwanini mnashindwa kutambua kuwa kuna mambo mtu anayafanya...
4 Reactions
12 Replies
427 Views
Darasa la 1-7 una amka saa 1 asubuhi Form 1-4 una amka saa 1 asubuhi Form 5-6 una amka saa 1 asubuhi Chuo kikuu una amka saa 1 asubuhi Kazini una amka saa 1 asubuhi Huu ni mzunguko wa maisha yako...
5 Reactions
42 Replies
1K Views
Hili ni swali mtu yeyote mwenye Majibu achangie Imagination zangu Baada ya uhuru wa Tanzania watu wengi hawakuwa na elimu wala shughuli yeyote ya kiuchumi, ujinga na umasikini ulikuwa kwa...
0 Reactions
7 Replies
520 Views
Kila ukikatiza mitaa mbalimbali nchini Morocco utakuta mabango, matangazo mbalimbali, binafsi au ya serikali, majina ya mitaa, kila kitu kimeandikwa kwa lugha mama ya kiarabu kisha kwa maandishi...
1 Reactions
5 Replies
396 Views
, ambayo itagharimu shilingi bilioni 9 hadi kukamilika kwake. Katika hafla fupi ya makabidhiano ya eneo la ujenzi na usaini wa mkataba iliyofanyika jana, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa...
0 Reactions
2 Replies
452 Views
Back
Top Bottom