Aisee nilikuwa sijui Hadi nilipifanikiwa kupita hospitali moja kubwa nikakutana na wachina, waarabu, wazungu wengi wagonjwa balaa.
Nilipofuatilia KWA karibu ni magonjwa yasiyoambukiza, migongo...
Sisi tulijua bosi huyu bosi wetu kama mama yetu ana mume ila tukumuona mume wake hata kanisani ila tunamuona bosi aliyekuwepo kipindi cha nyuma kuwa naye karibu.
Ina maana bosi hata mtoto wako...
Katika Mataifa ya Africa hakuna taifa linaloiga lifestyle ya wazungu na kujifanya wana uwezo kama South Africa, Kipindi Wazungu wanapambana kusambaza ushoga mimi nilitegemea wazulu namna walivyo...
Mi hainiingii akilini mtu ambae alikuwa CEO mda wake ukaisha akaja CEO mwingine halafu anakuwepo CEO wa zamani anafanya kazi ambazo kimsingi alitakiwa azifanye wakati wa utalawa wake. Yaani mara...
Toka mwaka huu uanze kumekuwa na mlipuko mkubwa wa homa ya nguruwe (ASF) kwa mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Pwani, Tanga na sasa Arusha na Kilimanjaro ugonjwa unaendelea kushika kasi. Kwa sasa...
Kutoka Kitabu: The Winner’s Laws – Bodo Schäfer
Katika sura ya mwisho, Bodo Schäfer anaeleza kuhusu nguvu kubwa inayojulikana kama “mzunguko wa ushindi” (Winning Cycle). Anasisitiza kwamba...
Niwape pole sana wafiwa, naamini yanayotokea sio mapenzi yao kujinyonga bali Shetani.
Nawaza tu, kwa nini Wachungaji wanagoma kusalisha Misa ya mfu aliyejinyonga?
Na baada ya kugundua...
Kutoka Kitabu: The Winner’s Laws – Bodo Schäfer
Katika sura hii, Bodo Schäfer anaeleza kuwa kujiamini ndiyo nguzo muhimu zaidi ya mafanikio. Bila kujiamini, hata mtu mwenye vipaji vikubwa hawezi...
Kutoka Kitabu: The Winner’s Laws – Bodo Schäfer
Katika sura hii ya nne, Bodo Schäfer anaeleza kuwa washindi huishi kwa malengo maalum. Hakuna mshindi anayefanikisha ndoto bila kuwa na malengo...
Kutoka Kitabu: The Winner’s Laws – Bodo Schäfer
Katika sura hii, Bodo Schäfer anaeleza kwamba mafanikio ya kweli yanatokana na mazoea yetu ya kila siku. Unachofanya mara kwa mara kina nguvu zaidi...
Uchambuzi wa hotuba ya mheshimiwa Polepole kwa lugha inayoweza kueleweka huku uswahilini kirahisi.
Kwa ufupi, Polepole amelalamika kuwa utaratibu wa familia wa kula pilau pamoja kwenye sinia moja...
Kutoka Kitabu: The Winner’s Laws – Bodo Schäfer
Katika sura hii muhimu, Bodo Schäfer anaeleza kuwa hofu ndiyo kikwazo kikubwa cha mafanikio ya watu wengi. Washindi si watu wasiokuwa na hofu, bali...
Kutoka Kitabu: The Winner’s Laws – Bodo Schäfer
Katika sura hii, Bodo Schäfer anasisitiza kuwa mafanikio hayawezi kupatikana bila nidhamu. Nidhamu ndiyo daraja linalokupeleka kutoka kwenye ndoto...
Kutoka Kitabu: The Winner’s Laws – Bodo Schäfer
Katika sura hii muhimu, Bodo Schäfer anaeleza kuwa hofu ndiyo kikwazo kikubwa cha mafanikio ya watu wengi. Washindi si watu wasiokuwa na hofu, bali...
Hata kama sio mtu wa mambo ya nyota sana ila kwenye familia nazo utumia kuangalia nyota za watu kuwa nyota hii ni nuksi au bahati.
Kwa huyu bwana sijui nyota yake ni moto sasa CCM imewaka moto...
USHUHUDA WA PASTOR CHIDUBEM OKWU ALIYEENDA MARINE KINGDOM KUJIPATIA NGUVU KUTOKA KATIKA FALME ZA GIZA ILI AWE MTENDA MIUJIZA MIKUBWA KANISANI KWAKE NA APATE WATU WENGI.
Nimeedit kidogo ili...
Kutoka Kitabu: The Winner’s Laws – Bodo Schäfer
Katika sura hii, Bodo Schäfer anaeleza kuwa watu wanaofanikiwa huwa na kanuni (laws) ambazo wanazifuata kila siku bila kupotoka. Kanuni ya Ushindi...
Kutoka Kitabu: The Winner’s Laws – Bodo Schäfer
Katika sura hii ya kwanza, Bodo Schäfer anaweka msingi muhimu sana: hakuna mtu anayeumbwa mshindi wala mshindwa. Kila mtu anazaliwa akiwa na nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.