Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wakuu, Niwatakie heri ya sikukuu za Muungano, Leo katika hutuba ya Rais nimeskia amepongeza kuona mwanamke akiwa katika kikundi cha Bendera. Ifahamike kikundi hiki hakijawahi kuwa na...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu naomba mbinu za ku escape hii misala kabla kuingia Vitani
1 Reactions
10 Replies
437 Views
Kama sio Leo Ni lini twendeni ikulu Dodoma hamna kusubiri Hawa watawala watatumaliza tarehe 28 tupo ikulu
1 Reactions
5 Replies
465 Views
sikiliza Jesus News Radio Jesus News Radio Kila mwanadamu hupitia nyakati za maumivu ya moyo, iwe ni kutokana na kukataliwa, kusalitiwa, kufiwa, au kukosa kutendewa haki. Moyo uliojeruhiwa...
2 Reactions
4 Replies
387 Views
Kila nikipata daraja la Kijazi pale Ubungo kwenye mataa ndio sehemu pekee nawakuta bodaboda wanatii sheria ya taa za barabarani. Nadiriki kusema ndio sehemu pekee yenye mataa ambayo bodaboda...
3 Reactions
9 Replies
622 Views
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imeamua kupunguza kutoa maoni au ukosoaji kuhusu uchaguzi wa nchi nyingine, isipokuwa pale tu kunapokuwa na sababu ya msingi inayohusiana moja kwa moja na...
0 Reactions
6 Replies
468 Views
Vilevi nikimaanisha pombe, bangi, sigara, nk Mfano unakuta mpo out, mnapiga story au mpo nyumbani Wao wanakunywa na kuvuta
1 Reactions
3 Replies
280 Views
SASA tulioachika sijui TUKO kundii. Ganii na linii tutachezaaa NAWATAKIA MECHI njemaaa wote mtakaoshirikiiii All d best Maswali mengi sitakii
0 Reactions
3 Replies
244 Views
Anachosema huyu mtangazaji wa hili Tangazo ni cha kweli kabisa kwa asilimia 95 na zaidi. Hizi issues zipo ila sijui kama zina dawa. Dawa nzuri ilikuwa ni kwa mwanamke kutulia tu. Wala asiwe na...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Kimsingi nimechoka kulea wajukuu yaani unakuta mtoto wako anapata mtoto anakuja kumbwaga kwa Babu au Bibi yake alafu yeye huyo nduki. Imefika hatua mbaka tunasomesha watoto wenu nyie mnadunda tu...
18 Reactions
51 Replies
2K Views
Wakati naanza maisha baada ya kumaliza chuo niliendelea kukaa kwa miaka kama saba katika mtaa niliokua nimepanga wakati nasoma chuo. Kwa miaka hiyo saba nilijuana na watu plus ma ex wawili...
30 Reactions
120 Replies
6K Views
Licha ya faida zitokanazo na teknolojia hii katika uchaguzi lakini pia moja ya athari inayoweza kusababishwa na teknolojia ya akili unde ni uwezekano wa kuenea kwa taarifa potoshi. Video na sauti...
3 Reactions
12 Replies
766 Views
Wakuu kwema… Tupo huku tunavuna viazi na wananzengo wenzangu. Hoja ikaibuka, mbona hatujawahi kuona tangazo la kilimanjaro lager, safari lager, serengeti lite na vinywaji vya namna hiyo katika...
8 Reactions
173 Replies
5K Views
2025 mambo yamekua mengi sana, haya tukumbushane. Naanza: Tafuta hela nyingine zote ni stori tu. Acha roho mbaya, chochote kibaya utakachofanya kwa mwingine kitakurudia. Usikimbie wanao na...
9 Reactions
47 Replies
1K Views
Katika miaka ya hivi karibuni, biashara ya Forex imekuwa kivutio kikubwa kwa vijana wa Kitanzania wanaotafuta njia mbadala za kujiongezea kipato. Wakati Forex ni fursa halali kwa wale wenye uelewa...
10 Reactions
61 Replies
6K Views
🛫 Emmanuel Nwude: Mtu Aliyewauzia Wazungu Uwanja wa Ndege Ulio Hewa Katika historia ya dunia, matapeli wengi wamejaribu njia mbalimbali za kujipatia mali kwa ujanja. Lakini ni wachache sana...
2 Reactions
14 Replies
826 Views
Hivi huu utaratibu wa ukoloni mamboleo na utumwa wa rejareja wa kuvalishana mawigi ya kizungu (blonde wigs) ni nini? Hivi tuko huru kweli? Na hii common wealth ambao ni muunganiko wa nchi...
5 Reactions
131 Replies
22K Views
Migogoro ni muhimu sana katika kuboresha mahusiano baina ya watu pamoja na kuleta heshima miongoni mwa watu. Kuishi huku unatarajia kupata marafiki, au mwenza, au ndugu, mwajiri au wafanyakazi...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Madhara ya sigara: Ocean road pale hospitali ya cancer wapo wagonjwa wengi wenye kansa ya mapafu, fizi, koo, n.k. kwasababu ya matumizi ya muda mrefu ya sigara. Cancer inaharibu koo kiasi kwamba...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom