Habari wadau,naombwa kusaidiwa mawasiliano (Namba za simu/email) ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam,Mh Paul Makonda.
Mwenye nayo ani pm tafadhali.
Ahsanteni sana.
Ndugu zangu wapendwa huu ndiyo wakati wa kuwa imara zaidi kuliko wakati wowote. Simama na mathayo 10:28 HATISHWI MTU
Kumbukeni hili msije kusahau hata siku moja! Mungu yupo pamoja nasi wakati...
Katika muktadha wa uongozi wa Taifa letu la Tanzania, kumekuwepo na mijadala mingi kuhusu namna bora ya kuhakikisha uongozi unaendeshwa kwa misingi ya uwazi, demokrasia, na uwajibikaji. Miongoni...
Habari wanajamvi.
Leo nimeona ni vyema tujumbushane fujo la vurugu za mwaka wa uchaguzi. Mambo huwa ni mengi sana yanayofikirisha na yanayozua maswali mengi yasiyokuwa na majibu.
Rai yangu kwa...
Brela
BRELA Niwaite Hapa Tuongee:
Kuna katabia kenu ambapo mteja akipiga simu ambayo inahusisha Tatizo la kimfumo Agents wenu wanamwambia kwamba wanamuunga na watu wa Tekniko au sijui ndo IT...
Za ndani ndani kabisa kutoka central huko kwenye mfumo
Amri imetoka kutoka juu mpaka kwa wakuu wote wa ulinzi kuwa ni marufuku polepole kufanya conference na waandishi wa habari.
Hata dada yake...
Zingatia hii, mwili wa binadamu unaweza kuonesha ishara mbalimbali katika kufikisha ujumbe pasipo kutumia maneno kabisa.
FBI au polisi wapelelezi wanafanikiwa kuwabaini watuhumiwa wa makosa...
Habari wakuu,dogo amesoma CBG amepata Chemistry D,Biology D na Gepgrapy B.Amepata divsion two ya point 10.Ukiachana na education kwa matokeo hayo dogo anaweza kusoma course gani? na ikikupendeza...
Hawa ni miamba wa Afrika walioandika vitabu vya hadithi siasa uchumi nk.. Wengi wameondoka wachache bado wako hai... Lakini bila kujali hilo Maandishi na maandiko yao yatadumu milele
Mine boy by...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetoa vibali vya kutoa elimu ya mpiga kura wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwa taasisi na asasi za kiraia 164 na kibali cha uangalizi wa uchaguzi kwa...
Hili swali nimewahi jiuliza sana .sasa leo nimeona nipate ku share na wadau humu. Kilichonisukuma mpaka kujiuliza hili swali ni nyakati za hafla za kijamii au za kimichezo zinapowakutanisha...
Binadamu tupo kundi la wanyama ambapo upeo wetu wa kufikiri ni mkubwa kuliko wanyama wengine wote. Kila mnyama anatabia fulani nzuri na mbaya yenye madhara na isiyokuwa na madhara.
Binadamu...
Ukiongea na wazee wengi, especially wale ambao hawako vizuri kiuchumi, utakuta kuna baadhi ya vitu vinafanana kwenye past experiences zao.
Wengi walipata "bahati" sio ya kuwa matajiri, ila...
Mtaje waziri aliyekosekana kwenye picha ya pamoja na mawaziri mara baada ya Kikao cha mwisho cha baraza la mawaziri cha Serikali ya Awamu ya Sita kilichofanyika Ikulu,Chamwino, mkoani Dodoma...
Kiti cha mkongwe kimeanza kunyauka chini kwa chini, japo maua bado yanatabasamu mbele ya hadhira.
Katika saa ya saba ya siku ya saba wa wiki, upepo wa mashariki utapiga bila huruma, ukitikisa...
Mathematical Riddle ; Fumbo la Hisabati
Marafiki watatu, Gwajima, Wambura na CCM walienda hotelini kwa Tulia, wakalipia room shs.30/= , ambapo kila mtu alichangia shs.10/=.
Baadae Tulia...
Naamini kuna kitu Uliwahi Kujutia kufanya katika Maisha,
kuwa wazi tu nn ?
Kwa upande wangu.
when I was on the O level school , my Neighbor brother came in our room with laptop full of por...
Ni takribanii wiki kadhaa tangu matokeo ya Mtihani wa Leseni yatoke mpaka sasa bado tunasubiri kutangaziwa siku ya kwenda kuchukua Leseni. Hili sio shida kwa sababu huenda ni Maandalizi...
Kabla ya shule kufunguliwa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) iliitisha semina kwa walimu wanaofundisha kidato cha V na VI nchi nzima, kuanzia 21-22/06/2025 katika vituo mbalimbali kwa kila wilaya...
Najua nafsi yako haitaki uwe hata ulivyo Sasa kwenye nafasi ya uraisi.
Ila wahuni waneona wewe ni mteremko wanafanya mambo Yao kiulaini ndo maana wamekung'ang'ania.
2025-2030 siasa za Tanzania...