Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Vikundi vinavyojifanya washirika wa CCM na kushiriki katika vitendo vya uhalifu dhidi ya jamii visipodhibitiwa na polisi, wasilaumu jamii itakapochukua hatua za kujilinda. Kila jambo lina kikomo...
1 Reactions
7 Replies
599 Views
Habari wakuu watumishi wengi wanalalamika kuwa mshahara hautoshi! Ukiona umeajiriwa iwe sekta binafsi au serikali na mshahara wako hautoshi namanisha take home kuanzia 150k na kuendelea ujue kuwa...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
China imeanza maandalizi ya mradi mkubwa wa ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme kwenye ukingo wa mashariki wa jimbo la Tibet, katika mto Yarlung Tsangpo. Bwawa hili linatarajiwa kuwa kubwa zaidi...
1 Reactions
0 Replies
328 Views
Wakuu! Juzikati Aprili 14, 2025 niliona kuna member hapa JF ametoa povu kuwa Mitaa ya Nyamwezi na Mhonda mlango wa kuingilia Soko Kuu (Shimoni) kuna chemba zilianza kutiririsha maji taka tangu...
0 Reactions
1 Replies
440 Views
Nina kijana mdogo kama miaka 17 hivi yuko form 4. Hivi karibuni amekua na tabia sizielewi kabisa na amekua akijishtukia kila tukikutana na kuficha vitu nisivyo vielewa. Muda mwingi pia yuko na...
10 Reactions
133 Replies
5K Views
Isa 17:4 SUV [4] Tena itakuwa katika siku hiyo, utukufu wa Yakobo utapungua-pungua, na kunona kwa mwili wake kutakonda. Onyo linalotolewa hapa ni kwa sababu ya kupungua kwa utukufu wa Mungu kwa...
0 Reactions
0 Replies
248 Views
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UDANGANYIFU KWA KUTUMIA JINA LA BALOZI DKT. EMMANUEL JOHN NCHIMBI Hivi karibuni kumekuwepo ongezeko la matukio ya udanganyifu yanayofanywa na watu wasiojulikana...
2 Reactions
1 Replies
379 Views
Wakuu hii kauli imekaa kitapeli sana eti kutoa ni Moyo na si utajiri!? How? Imagine umechapisha kadi za ufadhiri na kianzio umepanga Single iwe 150k Double 280k Halafu mwishoni unaandika maneno...
6 Reactions
10 Replies
493 Views
Huwa wanajiona sijui akina nani? Wanajikuta wako busy, ni kupishana tu mbele yako.
3 Reactions
7 Replies
417 Views
https://youtu.be/3eBdPc6iUpo?si=kpI2UiCWjNX7qspv Naendelea na mada zangu za Mkoa kwa Mkoa kuwahabarisha miradi mikubwa inayotekelezwa na Serikali ya mama mikoani. Baada ya Kigoma na Mbeya sasa...
4 Reactions
134 Replies
36K Views
Inaanzia nikiwa eneo ninalifahamu nikaenda kunywa supu anaye pika supu namfahamu ni kweli anauzaga supu na huwa nakunywa mara kadhaa asubuhi nikiwa kazini. Sasa nilipofika kwenye sufuria ya supu...
6 Reactions
34 Replies
1K Views
Kitabu hiking kimetoka mwaka huu. Kinazungumzia historia ya Huawei na maanzilishi wake. Jinsi Huawei ilivyoanza hadi kuja kuwa kampuni kubwa kabisa ya Telecom duniani. Ikizipita Ericcson, Nokia na...
0 Reactions
3 Replies
375 Views
Ukweli wa kushangaza ambao huenda kasisi wako hajawahi kukuambia ni kwamba Agano Jipya Waandishi wa Injili hawakuandika kile walichokisikia moja kwa moja kutoka kwa Yesu. Badala yake, waliandika...
2 Reactions
95 Replies
2K Views
Range Rover ©Vauxford, CC BY-SA 4.0, Wikimedia Commons The Range Rover is often considered the top luxury SUV, but its reliability can be a nightmare. Although some owners quickly praise how well...
1 Reactions
5 Replies
627 Views
ISIDORI Temba yupo kitandani ghorofa na pili Hospital ya rufaa ya Kanda ya KCMC akiendelea na matibabu ya jeraha la risasi analodaiwa kupigwa na mfanyabiashara muuza vifaa vya kielektloniki la...
13 Reactions
87 Replies
5K Views
Swali langu ni fupi tu,je nchi za wenzetu uko majuu yaani uko kwa wazungu kuna makabila kama ilivyo nchi za afrika? Mfano Tanzania,wajita,wagogo ,wasukuma,wajaga ,wanyakyusa,nk * ukitaja nchi...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
MUME NA MKE MKISHIRIKIANA, KULEA WATOTO NI RAHISI NA RAHA KAMA KUNYWA MAZIWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Ndio maana unatakiwa uwe Makini Sana kutafuta mwenza wako. Ndio maana unapaswa...
1 Reactions
0 Replies
414 Views
Habari? Natafuta Pombe ambayo nikinywa haina harufu mdomoni. Namaanisha hata kwenye interview naweza timba nikatoka HR akaniona mnyama bila kushtukia issue kwa hapa TZ. NB. Kama hujui kaa kimya.
10 Reactions
96 Replies
9K Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Leo Nina Raha sana moyoni mwangu jamani Yaan nasikia aman sana sijui hata kwa nini? Ndo nakumbuka mda huu kumbe ni YESU KRISTO jaman YESU KRISTO hunipa...
8 Reactions
17 Replies
694 Views
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetoa jumla ya Hati Milki za Ardhi 1,176 wakati wa Maonesho ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba yaliyomalizika mwishoni mwa wiki. Katika maonesho...
2 Reactions
12 Replies
630 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…