SILLENT KILLER 2
JF-Expert Member
- Jun 12, 2024
- 822
- 1,557
Habari wakuu natumaini mko poa. Sasa nilikuwa naomba uchanganuzi/ushauri kuhusu kujiwekeza kufungua labda stationary, mgahawa wa chakula, nguo.
Mimi naishi Kibaigwa, sasa hapa jirani Mtanana wamejenga chuo kikubwa sana na inasemekana kuwa ni chuo kikubwa sana ambacho kitakuwa cha tatu au nne East Africa kitabeba wanafunzi zaidi ya 7,000.
Sasa nikuwa naomba ushauri kuhusu kufungua stationary, mgahawa wa chakula. Kwa experience yenu labda kwa uelewa mliosama hadi chuo na mmeona mnaona kipi kizuri kati ya hivyo viwili kina matter sana
Naomba ushauri.