๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐—ณ๐—ฒ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ฟ๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚ ๐—น๐—ผ๐—ด๐—ผ๐˜‚๐˜ ๐—ป๐—ฎ ๐—น๐—ผ๐—ด๐—ถ๐—ป ๐—ธ๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐—ถ๐—น๐—ถ๐˜ƒ๐˜†๐—ผ ๐—™๐—ฎ๐—ฐ๐—ฒ๐—ฏ๐—ผ๐—ผ๐—ธ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,367
Reaction score
2,800
1_20250617_214023_0000.png

๐Ÿ’จ Whatsapp wako kwenye hatua ya mwisho kuweza kutambulisha feature mpya inaitwa "Logout" ambayo itaweza kuwapa Watumiaji wa Whatsapp uwezo wa ku logout kwenye akaunti zao bila kupoteza akaunti zao.

๐Ÿ’จ Hii ni feature mpya ambayo itakupa uwezo wa ku logout kwa muda bila kupoteza taarifa zako za data zilizopo kwenye akaunti yako ya Whatsapp (temporary disabled) Pamoja na kuondolewa kwenye Groups zako za Whatsapp.

2_20250617_214024_0001.png

๐Ÿ’จ Feature hii imeletwa maalum kwa watu ambao wanapenda kuweza kuchukua mapumziko ya kutumia program ya Whatsapp bila kupoteza chati zao au groups zao. Kwa sasa option ya "Logout" hamna kwenye Whatsapp kwani utakuta tu feature ya ku - delete akaunti yako na kufuta kabisa chati zako.

3_20250617_214024_0002.png

Feature hii itakua nzuri sana kwa wapenzi Watumiaji wa mtandao wa Whatsapp utakua na uwezo wa ku login na logout bila kupoteza data zako ๐Ÿ“Œ
 
View attachment 3373577

๐Ÿ’จ Whatsapp wako kwenye hatua ya mwisho kuweza kutambulisha feature mpya inaitwa "Logout" ambayo itaweza kuwapa Watumiaji wa Whatsapp uwezo wa ku logout kwenye akaunti zao bila kupoteza akaunti zao.

๐Ÿ’จ Hii ni feature mpya ambayo itakupa uwezo wa ku logout kwa muda bila kupoteza taarifa zako za data zilizopo kwenye akaunti yako ya Whatsapp (temporary disabled) Pamoja na kuondolewa kwenye Groups zako za Whatsapp.

View attachment 3373578

๐Ÿ’จ Feature hii imeletwa maalum kwa watu ambao wanapenda kuweza kuchukua mapumziko ya kutumia program ya Whatsapp bila kupoteza chati zao au groups zao. Kwa sasa option ya "Logout" hamna kwenye Whatsapp kwani utakuta tu feature ya ku - delete akaunti yako na kufuta kabisa chati zako.

View attachment 3373579

Feature hii itakua nzuri sana kwa wapenzi Watumiaji wa mtandao wa Whatsapp utakua na uwezo wa ku login na logout bila kupoteza data zako ๐Ÿ“Œ
Mbona ipo siku nyingi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom