Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
Kituo cha Mafuta cha Oasis kilichopo Mwenge kimegeuka Kituo cha Daladala na Bajaj kiasi cha kuhatarisha maisha na kuwa kero kwa watumiaji sahihi wa kituo hicho. Mamlaka husika shughulikieni hili...
1 Reactions
3 Replies
473 Views
Ni Kwa mujibu wa Mwalimu Jeff Massawe muinjilisti wa Kisabato ambaye ameasi na kufutwa ushirika na sasa ameanzisha huduma yake maeneo ya Dawasco Bunju. Anadai asili ya fundisho husika ni...
3 Reactions
69 Replies
2K Views
Sababu mtu anakukamata kosa lako abiria hajavaa helmet na abiria yeye kaishika mkononi halaf traffic anakuandikia fine inaumiza sana, kama mtu ni boda atanielewa hela yote ya marejesho ya mkopo...
1 Reactions
3 Replies
231 Views
Nipo hapa Bukoba Mjini kwa miaka miwili sasa niulize chochote kuhusu huu mji...
1 Reactions
131 Replies
19K Views
Januari 2023 Mfanyabiashara Gautam Adani ambaye ni mmiliki wa Kampuni za ADAN GROUP alijikuta akiondolewa katika orodha ya Matajiri wakubwa duniani baada ya thamani ya utajiri wake kushuka kwa...
1 Reactions
3 Replies
877 Views
Ndugu zangu hakuna ushahidi wa kina kwamba mtu ukifa kwa jihadi unaenda mbinguni tuwe waangalifu sana tutafute maarifa. Hivi sasa kuna elimu ya kujitoa muhanga elimu hii ipo kwenye dini maarufu...
1 Reactions
17 Replies
621 Views
‎ ‎Idara ya Uhamiaji Wilaya ya Kakonko mapema wiki hii imeendesha mafunzo ya ki-uhamiaji kwa wanafunzi wa Jeshi la Akiba katika Kata ya Kasanda iliyopo Wilaya ya Kakonko Mkoa wa Kigoma kupitia...
0 Reactions
0 Replies
411 Views
WAJUE MAFISADI NA UOZO WALIOFANYA FAHAMU UKWELI WA NCHI YAKO KWA MANUFAA YAKO, TAIFA NA JAMII YAKO!!.. Huyu muiran anataka kutwambia nini: Check haya madudu yanayofanyika. (1)...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Au wamechanganyikiwa kumbe ndonimeanza kuamini kuwa sio Kila kilichopo mitandaoni cha kuamini nahisi hizi figure Wali wrong. Haiwezekani nyumba tu iwe bei mara tano ya utajiri wa Elon Musk. Hivi...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Nilikuwa nasoma historia mbalimbali kwa miaka 6, sasa nimehitimu, kwahyo naombeni maswali ya kihistoria yoyote au jambo lolote unalotaka kufahamu.
3 Reactions
99 Replies
3K Views
Kuna video nimeiona hivi karibuni ikizungumzia utofauti wa deni la Marekani na deni la nchi zinazoendelea. Ambapo Deni la Marekani linaweza kuonekana kuwa ni kubwa hata hivyo deni hilohaliinyongi...
0 Reactions
0 Replies
345 Views
SHULE KUMI GHALI ZAIDI TANZANIA. 1- International School of Tanganyika (IST) — Hii ndio shule ghali zaidi nchini. Iko jijini Dar Es Salaam na hufuata Mtaala wa IB. IST hutoza ada kuanzia shilingi...
53 Reactions
258 Replies
29K Views
Leo nimekuta vibanda vyote huko stendi ya daladala Kawe kwa Mwamposa vilibomolewa. Baada ya vilio vya muda mrefu vya wakazi na wapanda daladala, serikali inaanza kuchukua hatua za kuboresha...
0 Reactions
3 Replies
341 Views
Hivi juzi nilipokea simu kutoka kwa ndugu huko mkoani. Akisema amepata kibarua mkoa nilipo hivyo anaomba aje akae kwangu. Nilimkaribisha lakini nikamwambia mimi naishi kibachela nyumbani sipiki...
4 Reactions
23 Replies
936 Views
Rais Samia Suluhu Hassan, amejenga viwanda vipya zaidi ya 700 ikiwemo GGR kinachosafisha kilogram 440 za dhahabu kwa siku ajira mpya zaidi ya 14,000 zimezalishwa ndani ya miaka 4 ya uongozi wake...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amefanya ziara kituo cha mwendokasi Kimara na kukuta changamoto ya uendeshwaji mbovu wa huduma, ikiwa idadi ya mabasi yanayofanya kazi ni 60 kati ya mabasi 200...
9 Reactions
89 Replies
4K Views
Asee najifunza mengi na ninapenda kujifunza sana. Kumbe haya matangazo ya moja kwa moja ambapo mkuu wa nchi anahutubia na yanapeperushwa kwenye runinga mubashara kumbe yanachujwa kwa ukaribu...
1 Reactions
13 Replies
668 Views
Ni hoja niliyojiuliza, kwamba watu hawatakiwi kuabudu hata sehemu zingine, walau hata kukodi ukumbi ili kujifunza Neno la Mungu bila kwenda maeneo waliyozungushia utepe, kwa hiyo ile haki yao ya...
1 Reactions
26 Replies
934 Views
Inawezekana huwa unajiuliza ni zipi shule ghali zaidi Afrika kwa kipindi kirefu sasa,Hizi hapa shule kumi ghali zaidi katika ukanda wetu wa Afrika pamoja na Ada zake; 10. American international...
27 Reactions
126 Replies
6K Views
Wakuu, Nadhani saivi ningekuwa na mjengo wangu wa maana huku Mbezi Beach, pamoja na ndinga kaliiiiiii. Jamani, hakuna taasisi/shirika la kiserikali linakera kama DAWASA Wizara ya Maji na...
1 Reactions
1 Replies
418 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…