Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tukisoma mambo ya hesabu agano la kale tunapata kuona Mungu alimjia Musa mlima sinai na akamweleza aende kuwakomboa wa misri kistarabu tuu pia tukija kuangalia Luke 26 malaika Gabriel alimtokea...
3 Reactions
4 Replies
348 Views
Jana Mhe. Rais alifungua Bandari kavu ya Kwala. Hongera sana. Kwenye maelezo ya Mhe. Mbarawa kwa Mhe. Rais alitaja mambo yafuatayo:- (1) Bandari kavu ya Kwala itahudumia makasha yanayokadiriwa...
0 Reactions
0 Replies
253 Views
Habari Wadau, Dar es salaam ni jiji linalopanuka kwa kasi sana. Wakazi wengi wanakaa pembezoni lakini kila siku wanaelekea katikati jijini kwa shughuli mbalimbali. Nimekuwa nikipendekeza route...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Moja kati ya tukio la kushangaza lilitokea mwaka 2010 ni Microsoft iliweza kumdhihaki Apple baada ya Microsoft kutoa simu mpya ya windows unajua ilikuwaje 😁. Ilikua mnamo mwaka 2010 iliweza kutoa...
0 Reactions
4 Replies
449 Views
YHWH, Mungu Aliye Juu Zaidi, alipanga na kutabiri kwamba atajituma mwenyewe duniani kama Mwana wake mwenyewe: Akikubaliana na nafsi yake, alijitolea mwenyewe kwa nafsi yake ili ajitoe kwa utii kwa...
5 Reactions
93 Replies
2K Views
✍️
2 Reactions
78 Replies
28K Views
Habari ,nina swali kwenu wapendwa waumini wa madhehebu ya kilokole,nimepata binti wa kilokole ninataka kumuoa na tuko kwenye mahusiano mwaka mmoja na nusu sasa na tumeshatambulishana...
1 Reactions
21 Replies
858 Views
Mwaka 2022 ni mwaka ambao sitaka niusahau hivi vyote navyoandika huku jamiiforums ikiwemo na huu uzi wa sahivi niliuandaa mwaka 2022 (Kuna mambo mengi sana sijaandika sababu nitazua taharuki)...
0 Reactions
30 Replies
1K Views
Amri 10 za Mungu ni Nini Amri za Mungu ni nini Amri za Mungu ni orodha ya amri kuu 10 za Mungu katika Biblia. Za kwanza nne zinamhusu Mwenyezi Mungu mwenyewe, na zile zinazofuata mpaka mwisho...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Why not arusha Tanzania? I hope ex president kikwete will help solving this equation!, Nairobi security status is known to be unstable!.. Tanzania deserve this honour!
1 Reactions
2 Replies
427 Views
Kwa heshima na taadhima. Nakuomba Rais wetu tuwezeshe sisi ambao tunapigania fursa za biashara za nje ya nchi tuweze kupata huduma ya PayPal nchini. Ninaandika kwa uchungu sababu nchini fursa ni...
39 Reactions
251 Replies
19K Views
Nimeona watu wakilalamika namna wanavyopitia shida za hapa na pale kipindi cha kuachana ... Kun watu wanaoachwa na kutelekezwa. Hii imekaaje???🤕🤕🤕🥱🥱🥱
4 Reactions
24 Replies
727 Views
Salaam wakuu, Science inasema, kila kitu kimeundwa na atom, bt maandiko yanasema, kila kitu kimeundwa Mungu. Science inasema atom imeundwa na sehem 3(proton, neuron & electron bt maandiko...
24 Reactions
380 Replies
9K Views
Katika taarifa inayoenea mtandaoni wizara ya viwanda na biashara imepga marufuku baadhi ya biashara kufanywa na wageni, Je sisi km vijana wa kitanzania tumejiandaa vp kuziba nafasi hzo au sisi...
2 Reactions
17 Replies
900 Views
Mimi najivunia tu kinaniwezesha kusoma habari hapa jamii F basi hata mtandao wa x habari nyingi na nzuri ni za english pia vitabu vingi vilivoandikwa na viongozi au wasomi wa tanzania vingi ni...
1 Reactions
1 Replies
203 Views
Andika sababu ya umaskini wako na njia za utatuzi👇👇👇
1 Reactions
26 Replies
938 Views
Ni sahihi kabisa kumtafuta mzazi wako aliyekutelekeza utotoni, ingawa uamuzi huu ni unaweza kuchukuliwa kama ubnafsi na unategemea mambo mengi. Watu wengi huchagua kuwatafuta wazazi walio...
3 Reactions
17 Replies
776 Views
Utaratibu wa sherehe za kabila la kalabari nchini Nigeria, Bibi harusi hacheki wala kutabasamu mbaka atosheke na pesa anazopatiwa na Bwana harusi wakati wa ndoa za kikabila. Tazama video hapa👇
1 Reactions
0 Replies
203 Views
Habari za Muda huu.... Nimeona kuna haja ya kuwarithisha Vijana wetu na watoto wetu maandishi ili wapate maadili na ufahamu zaidi juu ya chochote kinachohusu mustakabali wa wanayo yahitaji hapo...
1 Reactions
6 Replies
322 Views
Back
Top Bottom