Baada ya Mheshimiwa Rais kuzindua mradi mkubwa wa maji jijini Mwanza, wananchi tuliamini kuwa adha ya maji ilikuwa imefikia mwisho. Lakini hali ya sasa ni aibu kwa taifa na mateso kwa wananchi...
(Shuka chini kusoma kwa kiswahili)
A new report from the World Economic Forum (WEF) has raised serious concerns about how AI is affecting people’s mental health, especially young adults and...
Kuna siku bana, niko kwenye mwendokasi,nikajamba kile kishuzi cha kimyakimya,aisee kilinuka vibaya gari nzima na kama mjuavyo mwendokasi zinavyojaaga,watu wakapiga kelele sana wengine wakawa...
Nimekuwa nikimfuatilia huyu anayejiita mtumishi nimeona ni wachungaji wenye tabia zote za wanasiasa uongo na unafiki mwingi alionao ndio unamfanya apambane ajenge njia yake ya kuingia siku moja...
Ulinzi kwenye maisha ni kitu muhimu sana ndo maana hata kwenye masuala ya Imani tunaambiwa tusome nyiradi Mbalimbali ili kuweka ulinzi kwenye nyumba na mwili wako maana mambo ya kutisha na...
Moja ya njia ya kuweza kufaidika na space economy ni kutengeneza Multiplanetary rockets itakayokuwa na uwezo wa kubeba tone million 1 na zaidi it sound awkward ila lazima iwezekane
Hizo rockets...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inaendelea kung’ara katika Maonesho ya Kitaifa ya Kilimo (Nanenane) yanayofanyika katika viwanja vya Nzuguni, jijini Dodoma kwa kutoa huduma za...
Unakuta thead ina kichwa cha habari kinachokuvutia uisome,ila ukitaka kuifungua unakutana na "You do not have permission to view this page or perform this action",what the hell?.
Ni kweli kabisa huyo mtu anayelidonoa guitar la trebble, hilo gitaa kiongozi katika kibao kinachojulikana kama Lusa Mwana Mama cha Oliver N'goma Download | Oliver N’Goma - Lusa | Audio - Yinga...
Kwa Mtanzania Hassan Jumbe mwenye umri wa miaka 26, matatizo ya kukosa usingizi siku zote wakati usiku ilikuwa ni maumivu na mfadhaiko mkubwa kwake.
Usiku mmoja baada ya mwingine, maumivu makali...
Inakuaje mtu mpaka anaanza kumwamin mtu kama Tonny na wengine wa aina yake kiasi cha kumpa hela ati akiita sadaka, kwenda kushinda na kukesha huko?
Kwa akili ya kawaida haikuji, hawa huwa...
Kwa kuridhia qadar ya Allah na huzuni kubwa tumeondokewa na Mwanachuoni wetu mkubwa,Mtetezi wa Haki na Twariqa Ahlusunnah Sharif Abdulqadir bin Ahmad bin Muhammad Al-Ahdal
Aliyefariki Tawfiq...
Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema ameipongeza Tanzania kwa kushiriki katika maonesho ya 97 ya Kilimo na Biashara ya Zambia ambayo yametumika kama jukwaa la kuimarisha ushirikiano...
Msongo wa mawazo ni nini? Ni shinikizo au mfadhaiko wa kiakili, unaomkumba mwanadamu, pale anapokutana na matatizo, au taabu, au dhiki au shida Fulani. Hivyo inapotokea mtu huyu anashindwa...
Hapa duniani hakuna industry ambayo imefikia market capitalization ya usd one quadrillion ni space colonization peke yake ndo ina-hiyo market capitalization na iko untapped kwa zaidi ya asilimia...
Watu wa kimara wanateseka sana na ni mda mrefu sasa sahivi hata mtu akitaka kuhamia kimara na anafanya kazi posta au kariakoo na hana usafiri bnafsi basi anajifikiria mara kumi kumi sababu ya adha...
Nimesoma andiko la mtoa hoja mmoja kwamba kwa nini Wahaya festiva ifanyikie Dar es salaam na si Bukoba ili kuhamasisha ujenzi wa Barabara, Stendi na Soko, vitu vinavyotia aibu kubwa sana kimkoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.