Mtwara; Hotel ambayo mwaka 1 uliopita ilikua lazima ufanye booking leo hii tupo wateja 3 tu

Mtemikwila

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
1,388
1,058
Yaani hotel ambayo mwaka mmoja uliopita ilikua lazima ufanye booking leo hii tupo wateja wa tatu tu.

Yaani hotel kubwa namna hii bei imeshuka to the minimum kabisa.

R.I.P Ndanda kucheleeeee mtajijua wenyewe wamakonde na papara zenu za gas.
 
Yaani kuna jamaa yangu alikopa Bank akajenga haraka haraka na kufuata vifaa vyote China kuanzia kitchen utensils mpaka vitanda
Mwanzo alianza vyema na ilikuwa kila siku full booked
Leo hii dah mambo yanatia huruma
Kwa kweli yajayo hayafurahishi
 
Back
Top Bottom