Kuna maradhi ya kimyakimya yanayoshambulia mataifa ya Kiafrika, si kwa mapanga wala risasi, bali kwa nyaraka nzuri zilizopambwa kwa wino wa kimataifa. Maradhi haya si mengine bali ni imani butu...
Katika hatua ya kusimamia Haki ya Faragha na Ulinzi wa Taarifa Binafsi za watu nchini, Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imeiamuru Kampuni ya MI CASA kumlipa Wakili Abdul Naumanga Milioni...
Jana wananchi wamefurahi,ubaya -ubwela wamefurahi na watanzania kwa ujumla wamefurahi -kazi iendelee...........
Hakika MAMA unalitendea haki soka la Tanzania.
HONGERA SANA MAMA.Tupo pamoja sana ...
Good Afternoon Everyone.
Eti wakuu, kwanini mtu akitaka kupata "Unlimited Data Access" ni mpaka anunue kifaa cha ziada kama vile Router??
Kwanini mpaka utumie WiFi?? Kwani kwa kutumia...
Maisha yetu yamefichwa katika kesho nyingi tusizozijua wala kuzitarajia.
Una rafiki yako kipenzi unayeamini kuwa ndiye rafiki yako wa dhati? Usiwe mwepesi kumuamini kwa macho, wewe uachie muda...
Mnaoijua biblia tuwekeeni hapa maana au tafsiri ya huu mstari wa biblia.
1 Timotheo 2:12 - "I permit no woman to teach or to have authority over a man; she is to keep silent."
Je huu mstari bado...
Watu husema:
“Dini ni imani isiyo na ushahidi.”
“Unaamini tu bila ushahidi wowote.”
Lakini Uislamu unasema:
Tazama. Fikiri. Tafakari.
Sio imani ya upofu bali ni ishara wazi.
"Hakika, katika...
wakati wa Nabii Suleiman bin Daud, kulikuwa na mchungaji wa kondoo wa Nabii Suleiman(a.s).
Siku moja, mbwa mwitu alimjia na kumwambia:
"Nipe kondoo mmoja!"
Mchungaji akajibu:
"Mimi ni mchungaji...
Ni mwendo wa viuongo vya watu fulni kuchakalika kisawa sawa 😁😁
Mabaharia washanielewa.
Anyway jipatie mzigo mwezi ujao, kwa wale ambao hawana uwezo baki hivyo hivyo sio lazima 😁
💤 Njia Asilia za Kupata Usingizi Haraka:
1. Ratiba ya Kulala
Lala na kuamka saa ile ile kila siku, hata siku za mapumziko.
Hii huisaidia saa ya ndani ya mwili (biological clock) kuzoea.
2...
Kwa Miaka mingi changamoto hii imekumba sana simu nyingi za smartphone unakutana na simu yako inaojitokeza mstari wa kijani, nyekundu au pink ghafla kwenye kioo chako shida ni nini ??
Changamoto...
Miaka ijayo Matumizi ya simu yatabaki kwenye kucheza games pekee, lakini mawasiliano yote yatahamishiwa kwenye mfumo wa kipekee unaitwa holographic Display.
Hii ni Teknolojia ya kuweza kutumia...
Haya madhaifu Yake hakuyaona kabla Gwajima hajaamua kua mkweli na kupinga utekaji? Inamana Gwajima asingetoka hadharani kupinga utekaji Manara asingempiga vita, kosa la Gwajima NI kukosoa serikali...
Mabasi haya yapatayo 300, kwa sasa hayafanyi kazi, yamepaki tu bure huku abiria wa Kimara wakiishi kama wapo Somalia, inashangaza na kusikitisha, Rais hata aibu haoni.., anataka mitano tena, aibu...
Nilijua tu kauli ya mama hana deni itakuja kuwatafuna watu fulani fulani, Sera hazinadiki tena
Wanaulizwa maswali wasiyoweza kuyajibu?
Wengine wanaahidi kuleta barabara katika maeneo yao ilihali...
Nimekua nikisikia mipango ya NASA na mtu kama bilionea Elon Musk kuwa na mpango wa kuwapereka binadamu katika sayari ya mars.
Sina shaka na hili maana binadamu ameweza kufanya mambo makubwa mno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.