Hivi ndivyo matajiri wanavyofanya Biashara ya mazao na kuzidi kutajirika...
1: Wengi wa matajiri hawazalishi wenyewe — wanamiliki mnyororo wa thamani:
HAWAISHI Mashambani, Lakini Wanamiliki...
Wakuu nimeona hii ishu inawezekana nikikaza….
Nataka kila siku niwe nalaza laki 2 nifanye ishu ipi?
Au niwe natabia zipi zinazoendana na kiwango hicho cha return
Kwa zaidi ya miezi mitano sasa wahudumu hawajalipwa posho zao na hawajapewa maelekezo yoyote kutoka wizarani au kwa waratibu wa malaria ngazi ya wilaya ambao ndio wasimamizi wao na wakioji...
Kucha zako, nywele , nguo yako ya ndani ni vitu muhimu sana usitope hovyo katika ulimwengu wa kichawi vitu hivyo vinakuwakirisha wewe mwenyewe kama ukitokea mubaya wako amevipata basi wewe...
Habari wakuu?hivi kuna sheria au ni makosa watu kudrift magari yao ile kuzungusha gari kwenye barabara ya kawaida. Je nikichukua jiwe na kurushia lile gari na kupasua kioo itakua ni kosa?naweza...
Wanao wanakufanana au umeambiwa wanafanana na Babu mzaa Bibi, Mjomba shangazi nk?
Kwa upande wangu wanangu wa kiume wanafanana na mimi copyright no DNA, wa kike ndo kafana na mama yake.
Wanaume...
Ni muhimu kuwafunza waliokatika miliki yako maadili mema kuanzia watoto wako, wadogo zako, ndugu wa karibu pamoja na majirani mnaoishi kwa kushirikiana shughuli za kila siku, kila mtu akifanya...
Huu ni msimu wa mavuno kwa waganga wengi kama jadi ya watia wenu uamini huwezi pita bila babu,watu wameliwa pesa zao na majina hayajarudi huku wakiaminishwa.
Sio fair mganga unampa uhakika mtia...
Tech, Gadgets and Science Forum
Hapo utawakuta hawa wamba wamejitandaza wakitoa elimu bila hiyana na kwa utulivu mkubwa sana wapewe maua yao.
Mwl.RCT
Chief-Mkwawa
Uliza mambo ya IT/ICT n.k...
Wakuu, nimeshangaa kuona kwamba Tumaini Magesa, aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Busanda, amepitishwa tena kuwania ubunge, safari hii kupitia Jimbo la Katoro.
Mbunge huyu aliwahi kunaswa akitoa...
Kama bado unafikiri ukiwa nyumbani vitu unavyovifanya Dunia haijui basi Ebu Kaa chini na fikiria Tena Kwa mara pili 😌.
Vifaa vingi tunavyotumia bado vinatufuatilia kimya kimya bila sisi kujua na...
1. 1 Samweli 18:1
"Nafsi ya Yonathani ilifungamanika na nafsi ya Daudi, naye Yonathani akampenda kama nafsi yake mwenyewe."
2. 2 Samweli 1:26 (Baada ya kifo cha Yonathani)
“Nanasikitika...
Mmoja wa watia nia nafasi ya Ubunge CCM jimbo la Same mashariki, Anne Kilango Malecela akijinadi na kuwaomba Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jimbo hilo kumchagua ili aende kumalizia kazi aliyoianza ya...
Usaliti upo kila mahali katika maisha ya binadamu. Kazini, mashuleni na kwenye mahusiano.
Mchukulie mfano wa January Makamba kaipigania sana CCM na akajitolea kabisa hata kucheza Rafi lakin...
Hivi BAMAGA ni Mwenge Au Sinza!?
HONGERA BAR ni Sinza Au Kijitonyama?
Chuo Cha Ustawi Ni Sinza Au K'ijitoNyama?
ITV Iko Mikocheni Au Mwenge?
COCO BEACH Iko Masaki Au Osterbay?
MLIMANI CITY...
Wadau hilo eneo siyo mbali na Barabara Kuu au Mbuyuni. Huko kuna kila aina ya sifa lukuki ukipanga kuishi huko jipange. Zamani palikuwa machimbo ya Kokoto na palipofungwa ndiyo wakajipimia...
Mungu hatetewi mnanishangaza mnaosema mungu ni muweza wa yote alafu bado mnasimama kumtetea.
Kuna hawa sijui wanatetea uislam, sijui wanamtetea allah, kuna hawa sijui wanatetea ukristo sijui...
Hapo zamani za kale, kulikuwa na sungura mjanja sana na kobe mwenye busara lakini mwendo wa polepole. Waliishi kwenye pori moja lililojaa wanyama wa kila aina. Pori hili lilikuwa na sheria nzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.