Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wakuu, Wahenga walisema " Masikini atabaki kuwa Masikini, tajiri ataendelea kuwa tajiri zaidi na zaidi" na Mimi nasema " Tumbo lililo zoea rushwa halishibi kamwe" Wakuu hii tabia ya CRDB...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Naona zinanichanganya nashindwa kuelewa ni kampuni moja au tofauti Kama ni kampuni moja iweje na matoleo ya majina tofauti kwa mfano Kuna Xiaomi 14 na Kuna Redmi note 13 simu zote hizo utakuta...
8 Reactions
45 Replies
6K Views
https://www.tiktok.com/@ariseandshinetanzania/video/7533525144904420664
0 Reactions
5 Replies
428 Views
Hiyo mistari yenu ya biblia na quruan mmewekewa kwaajili ya marejeo ni kitu hamjui tu kwani hata nyimbo/miziki ya Kiafrika ina maana na mafundisho mazuri tu kuliko huo upuuzi wenu usioenda na...
1 Reactions
3 Replies
246 Views
Yale waliyoyaona yatawapa changamoto wakayaita APOKRIFA. Ati maandishi yaliyotiwa chumvi nyingi!! Yale waliyoona hayana madhara katika kuwezesha malengo yao kutimia ndiyo wakayaacha. Twende...
0 Reactions
1 Replies
356 Views
Kwa wale ambao inakuwa ngumu kusoma maandishi wanaweza kusikiliza audio ya kitabu cha Henoko hapa: The Book of Enoch | LibriVox
2 Reactions
0 Replies
440 Views
Kwako Robert Pole na masahibu unayopitia. Lakini hupaswi kuonewa huruma hata chembe. Umedhulumu wengi sana, Umeumiza wengi pia. Lakini ndege mjanja hunaswa na tundu bovu. Naamini unamfahamu vema...
1 Reactions
41 Replies
11K Views
Tutajuta viumbe wote wa huu ulimwengu kwa kukaa kwetu kimya hata kama hamas walifanya ugaidi kwa majirani zao Israel ila sio kwa malipo haya ya hawa watoto wa Gaza nimetazama video Instagram za ma...
0 Reactions
4 Replies
307 Views
Habari, Nina mtoto nimemlea kwa takriban miaka miwili hivi, nampenda sana uyu mtoto na ndo mtoto pekee nilienae kwa sasa ila njia ya mama yake na yangu zimeenda tofauti na kila mtu na maisha...
12 Reactions
102 Replies
36K Views
WAANDISHI wa habari nchini wametakiwa kuwa makini katika kuripoti taarifa za uchaguzi, hususan katika zama za teknolojia ya akili bandia (AI) ambazo zimeongeza kasi ya usambazaji wa taarifa...
0 Reactions
0 Replies
242 Views
Naenda kwenye mada moja kwa moja! Hawa jamaa ni matapeli na kama umejiunga na hii kitu uwe makini unaweza toa hela na badae usilipwe kama yaliyomkuta mzee wangu. Moja hamna mkataba wa maandishi...
36 Reactions
94 Replies
14K Views
Kuna kitu mpk leo najiuliza perform ya dogo ukimuona ni kweli alikuwa anajitambua kabisa kwa sasa naigiza au nyingi NI edit Tu za computer kumbuka movie unatoka hata ai tools ilikuwa bado kuanza.
3 Reactions
2 Replies
280 Views
Yuda Iskarioti akajibu “ Nitakayembusu huyo Ndiye “ Walipofika kwenye Mlima wa mizeituni Yesu Kristo akamuuliza Iskarioti “ Yuda unamsaliti mwana wa Daudi kwa kumbusu?” Yesu alijitambulisha kwa...
8 Reactions
21 Replies
917 Views
Siku hizi, baada ya sera mbaya ya ushuru ya Marekani kusababisha hasira kubwa kwa jamii ya kimataifa ikiwa ni pamoja na bara la Afrika, kuna vyombo vya habari vya magharibi vimeanza kuzungumza...
2 Reactions
1 Replies
315 Views
Waafrika hao ndivyo walivyoelewa na siyo kwamba wao ndiyo wako sahihi kwa walivyoelewa hakuna Mwafrika mwenye akili aliye muislam au mkristo wote wanaoishi humo ni MATAHIRA kwani wanaishi kwa...
3 Reactions
9 Replies
579 Views
Nilifanya biashara alafu NIKAACHA, almost five years ago Sasa nataka kupata tax clearance certificate haraka ikiwezekana nikwepe ILO deni Je vishoka wanaweza kunisaidia Kama walivyo nisaidia...
1 Reactions
8 Replies
435 Views
Nilizaliwa mwishoni mwa miaka ya themanini katika kijiji cha chabutwa wilaya ya Sikonge mkoa wa Tabora, nilifanikiwa kupata elimu yangu ya msingi hapo kijijini, shuleni nilikuwa vizuri sana, si...
81 Reactions
1K Replies
351K Views
Wakuu, nimekutana na hii video wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stsphen Wassira akieleza kuwa kila Zahanati nchini kwa sasa ina CT scan.
0 Reactions
11 Replies
639 Views
Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii za makampuni, maduka na biashara kwa ujumla, Nina ujuzi wa IT (Information Technology) kama website hosting, development na management, graphics design...
2 Reactions
7 Replies
446 Views
Wananchi wa Kijiji cha Nahukahuka A, Wilaya na Mkoa wa Lindi, wamechoma nyumba saba moto kwa kile kinachodaiwa kuwa imani za kishirikina. Imedaiwa kuwa, tukio la kuchomwa kwa nyumba hizo saba...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom