Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kipindi cha Magufuli ulikuwa ukitazama picha yake ukajisikia kwenye mafaili ujamaliza kusaini ambapo nidhamu ilikuwa kubwa, kama ulikuwa ujasikiliza watu utakimbia kusikiliza watu
0 Reactions
3 Replies
237 Views
Leo tarehe 3 Agosti 2025 nimepita kwenye Ofisi za CCM Wanging'ombe hapa Mkoani Njombe, nimekuta baadhi ya Wanafunzi wakiwa nje ya Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Wanging'ombe...
0 Reactions
3 Replies
604 Views
Kutokuwa na lami kwa barabara ya Tabora, Sikonge, RUNGWA, Chunya mpaka Mbeya kunapunguza kasi ya maendelo kwa kiwango kikubwa sana katika haya maeneo Hata uwekezaji katika hayo maeneo unakua ni...
1 Reactions
4 Replies
429 Views
Wadau wa elimu habari. Chuo kikuu huria ni chuo kinachofanya vizuri katika taaluma mbalimbali hapa nchini nawapongeza katika hili. Kero: Kumekuwa na upotevu wa mitihani ya wanafunzi na hata...
0 Reactions
5 Replies
600 Views
habari wakuu ,, kama kichwa cha habari hapo juu , naomba uzoefu wenu kabla sijafahya haya maamuzi
1 Reactions
3 Replies
278 Views
Embe ni tunda la pili kwa umaarufu baada ya ndizi. Chimbuko la embe inasemekana ni south east Asia na India miaka 5000 iliyopita pembezoni mwa milima ya Himalaya India na Myanmar. Hizi ni Chini...
3 Reactions
8 Replies
507 Views
Kwa mara ya kwanza ilitolewa mwaka 2019 imepita Miaka zaidi 6 Toka kuachiwa kwake, ni simu nzuri sana ambayo wakati inatambulishwa ilikuja ikiwa na feature Mbalimbali za kuvutia kama vile triple...
2 Reactions
1 Replies
346 Views
Nasema kuburuzwa kwa sababu yanavutwa juu chini Hulu yakikwagua chini HADI huruma naona ni yake yaliyokufa wameamua kwenda kuyaficha huko njia ya kuelekea mtwara mkuranga huko labda kueopuka aibu...
5 Reactions
14 Replies
710 Views
Kuna wazazi wengi wanafikiria kuwa kazi yao kubwa ni kuhakikisha mtoto anapata akili sana. Anapata elimu nzuri, anasoma vitabu vingi, anajua mambo mengi. Hili si kosa. Lakini kuna jambo moja kubwa...
1 Reactions
5 Replies
477 Views
Katika maonyesho haya ya wakulima kipindi hiki imekuwa na utofauti mkubwa sana Zaidi ya mwaka Jana. Tofauti ni Kuwa wamachinga wa nguo ,wamachinga wa vyombo na mama ntilie,wauzaji wa dawa za...
5 Reactions
9 Replies
658 Views
Upande wa mashariki mwa Afrika nchini Tanzania. Hayati John Pombe Magufuli aliupiga mwingi sana enzi za utawala wake kiasi kwamba uchumi ulipanda mpaka uchumi wa kati kabla ya kurudi kwenye uchumi...
1 Reactions
18 Replies
769 Views
Peter Tabichi ni mwalimu wa sayansi kutoka kijiji masikini sana nchini Kenya. Anapata mshahara mdogo sana kutokana na kazi yake, lakini anatoa asilimia 80 ya mshahara wake kuwasaidia wanafunzi...
2 Reactions
11 Replies
527 Views
Umemsalimia mjumbe wako asubuhi ya leo? Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema CCM itahakikisha inateua wagombea wazuri wanaokubalika kwa wapiga...
0 Reactions
2 Replies
359 Views
Mdau, Je, wajua kuwa Akili Unde (AI) inaweza kutumika kuwafanya watu kupuuza mchakato wa uchaguzi katika mataifa yao? Mwezi Januari 2024, maelfu ya wanachama wa chama cha Democratic nchini...
1 Reactions
4 Replies
449 Views
Itakuwa ndoto sana mtu unawaza eti traore angekuwa mtanzania. Mnahitaji miujiza km Gaddafi au traore wahenga wanasema nabii hakubaliki kwao wapo watu km traore tanzania ila tunawaona takataka...
1 Reactions
3 Replies
295 Views
Katika hotuba ya Bajeti 2025/26 iliyosomwa na Mhe. Waziri wa Fedha Ndugu Mwigulu Nchemba ilitamka wazi kuwa kuanzia Bajeti mpya HOTEL LEVY imepunguzwa kutoka asilimia 10 mpaka asilimia 2. Wengi wa...
0 Reactions
1 Replies
195 Views
Uzi tayari. Ila wajumbe?! N'yadikwa
0 Reactions
1 Replies
277 Views
Ujumbe wa Jaji Asina Omari, Mjumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), alioutoa wakati akizungumza na wawakilishi wa vijana, kwenye ukumbi wa mikutano Mlimani City Dar es Salaam, unasisitiza kuepuka...
0 Reactions
9 Replies
420 Views
Dollar ya marekani sasa imeanza tena kushuka na kufika 2450 huku ikitarajiwa huenda ikagonga 2280 , hata hivyo haitegemei kusalia hapo kwa muda mrefu inaweza kupanda tena kuelekea mwishoni mwa...
0 Reactions
4 Replies
453 Views
Hakuna anayefurahia mateso, hakuna anayependa kuumia, pamoja na kutokupenda huko tunajikuta tupo ndani ya mateso mengi. Katikati ya mateso tunaweza kupata mtu bora, tunaweza kupata kanisa imara...
0 Reactions
4 Replies
256 Views
Back
Top Bottom