Swali lako linaeleza hali unayoiona kwenye jamii, lakini ili kulijibu kwa haki na kwa undani, hebu tuchambue kiukweli:
✅ 1. Si wanawake wote
Kwanza, kumbuka si wanawake wote wana roho mbaya au...
Wenye akili watalifanyia kazi awe ameshindwa au ameshinda ila haki ya kweli ingekuwa pale tu kuwashindanisha washindi wa3 wa mwanzo na kupata namba 1 isiyo na mazonge.
Kama siasa ni lelemama...
Maeneo;
Maeneo yote maarufu kwa uchimbaji wa madini ya DHAHABU katika kila mkoa kwa nchi nzima ya TANZANIA.
Kwa hapa tanzania mikoa/sehemu ambazo zina madini ya DHAHABU kwa wingi ni Geita (...
Inasemekana kuwa kuna kanuni mpya za kulipa fao la wategemezi ambazo zimeanza kutumika mwaka huu 2025.
Hapo awali mstaafu ambae alikuwa mtumishi akifariki ilikuwa warithi wanalipwa miezi 36 ya...
Habari wana JFs,
Nina rafiki angu wa miaka mingi ambae tumekua karibu kama ndugu ameniomba ushauri kama mtu wake wa karibu, lakini nimepata mtihani kidogo katika kumpa majibu kutokana na uzito wa...
Kuna tetesi nimesikia kwamba Soko kuu la Kariakoo linataka kuhamishiwa Ubungo, kwamba watu badala ya kwenda hadi Kariakoo wataishia tu Ubungo. Je, hii imekaaje kaaje, nini mtizamo juu ya hili...
Kwa upande wangu nimeshangaa sana kuona Mungu Allah anahitaji wanadamu wamnusuru. Kwa yeyote anayejua naomba msaada wa kuielewa hii Aya,
47:7
Enyi mlioamini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye...
Habari wana JF.
Leo nikiwa kwenye safari zangu mjini Dar es salaam Kuna gari ilikuwa inazunguka round-about, ghafla mlango wa nyuma ulifunguka na akadondoka mtoto umri kama miaka 4 hivi.
Na...
1. Huondoa sumu mwilini haraka sana
2. Huua bakteria wa aina nyingi mwilini hata salmonella ndani ya mwili hata juu ya ngozi
3. Kuna viua vijasumu (antibiotics) vya asili viwili kwenye tangawizi...
Habari wakuu nimepata mchongo wa kazi nje ya nchi, nimepewa taratibu za kupata passport na inachukua muda wa mwezi na week kutoka, naombeni msaada kama kuna njia naweza kutumia kuipata kwa siku 7...
Mtaalamu maarufu wa mustakabali wa teknolojia, Ray Kurzweil, ametabiri kuwa kufikia mwaka 2030, binadamu wataweza kuunganisha akili zao moja kwa moja na akili bandia (AI) kwa kutumia nanoboti...
Asalam aleykum wakurungwa,naomba kujuzwa je gari za aina huweza kuleta hesabu ya kiasi gani kwa kutwa!
#Tujuzane vyombo mbali mbali vya usafiri na hesabu zake kwa wale wakurungwa!
Kuna siku nimekaa ofisini kuna omba omba alikuja kuomba msaada nikampa kuna jamaa aliniambia hao omba omba nisiwe nawapa hela akasema hizo hela ukiwapa kuna sehemu wanazipeleka kuziuza kama sh...
..."Alisikika mbabu mmoja akiwa amevalia kanzu nyeupe na baragashia usoni kwenye kijiwe cha Gahawa Street".
Jinsi unavyoshangaa, ndivyo hivyo hivyo na mimi nilishangaa na kuacha mdomo wazi...
UK wamefanya hivyo bila kuigunga X, sasa ingawa sio sababu halisi ya kufungiwa kwa X, kwanini Jerry silaa wasiwasiliane na uongozi wa X wakazuia haya maudhui wanayosema hayafai kwa mlaji kuliko...
Hii imetayarishwa zamani lakini inaweza kutupa idea kidogo kuhusu familia tajiri Tanzania.
1. Schegg family
Patrick Schegg. Wana shares CRDB.
Utajiri wao $10.9 million
2. Shirima family.
Michael...
Nimewasogezea vipande kadhaa vya picha mjongeo , vikiwaonyesha WAJUMBE hatari wa fisiemu wakifurahia matokeo ya mchakato wa kura za maoni , hasa baada ya kuwafanyia kitu mbaya wabunge wa COVID-19...
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Chasaini Mkataba Mkubwa kwa Mradi wa Kituo cha Biashara cha Hill Park
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa kushirikiana na Watumishi Housing Investments...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Mkoa wa kagera maisha ni magumu na hali ni ngumu sana yaan watu hawana hela kabisa
Biashara zimedolola sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.