Mi nasemaga mmarekani ndio mvurugaji wa nchi maskini ila watu hawaelewi, na ndio maana Saudi Arabia kampokea mmarekani kifalme kwa sababu ndie anaempigania mafuta yake yawe na soko duniani
Leo...
Manispaa ya Kibaha imetangaza rasmi mabadiliko ya gharama za vibali kwa shughuli zote za sherehe na burudani zinazofanyika kwenye kumbi, ambapo kuanzia Agosti 6, 2025, wamiliki wa kumbi na...
Mbunge wa Jimbo la Lupa Wilayani Chunya,Mh MASACHE Njelu Kasaka amewashukuru Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Lupa-Chunya Mkoani Mbeya kwa kuendelea kumuamini yeye pamoja na Chama cha...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za petroli zitakazotumika hapa nchini kuanzia Jumatano Agosti 6, 2025, zikionesha kupungua kwa bei ya...
Wakuu,
Naomba kuwasilisha kero inayowakabili wananchi wanaotumia usafiri wa daladala kutoka Mbezi kupitia Goba - Kawe na zile zinazoelekea Makumbusho.
Nyakati za asubuhi, kuna changamoto kubwa...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANG'HWALE
TAARIFA KWA UMΜΑ
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya...
Ni kama research nafanya nataka kugundua sababu najua wapo baadhi hawajaoga zaidi ya siku tatu sasa
Je NI kwa sababu maji hayatoki umeamua Ku save yaliyobaki
Je NI kwa sababu unaogopa maji ya...
Rais Samia 08 Machi 2023 akiongea na BAWACHA alinukuliwa kusema "Wote tumejawa na furaha. Na hiyo ni kwa sababu ya matunda ya mazungumzo na maridhiano. Ndugu zangu siasa ni mchezo. Mchezo wa...
Hello
Shalom
Najua kwasababu ya upofu walionao watu ni rahisi sana mtu anayeitwa nabii kuchukiwa.
Hata kanisa linalojinasibu kuhubiri Injili siku ukiitwa nabii au ukijiita nabii tayari...
Hii nchi kila kona upigaji yaani mtu anakutegea ukiwa umelewa anakuja na shati lake na suruali eti 10000 anakupigisha stori wee eti anakushushia bei 5000 sijui ndo pombe au anamuonea huruma...
Hebu niweke kwa njia rahisi kwa wale wanaodai kwamba Biblia haina makosa. Musa aliwaamuru Waisraeli:
"Atakapoketi kwenye kiti cha enzi cha ufalme wake, atajiandikia nakala ya sheria hii mbele ya...
Kama hana ofisi, hujui anapoishi basi huyo ni tapeli wa mjini. Wapo wakenya, watanzania na wa Nigeria.
Wanatumia namba za nje ya nchi, wanatumia namba zisizo na usajili wa majina yao ila wako hapa...
Kwakweli sitakuwa tayari kulipa deni kubwa kama hilo wakati halijanisaidia mimi wala taifa langu kwa namna yoyote ile.
Natoa mifano michache;
1) Unapokopa chanjo za mafua za Trillion 2, halafu...
Watoto wana omba kujiunga na vyuo vikuu wanalalamika.
Taarifa za Nida hazipatikani yapata wiki sasa bila taarifa!
Je; Kwanini haipatikani? Je kuna watu wanatengeneza mazingira ya kupiga pesa? Je...
Kuna wakati nawaza sana mpaka nachoka kuhusu nafasi yangu mimi Mweusi hapa ulimwenguni.
Huwa najaribu kutengeneza picha kuwa siku moja Mwenye enzi Mungu amekuja na kuitisha kikao,na kati ya...
Ujumbe kwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum
@Dkt. Gwajima D
*KUHUSU: Ucheleweshwaji wa Usajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) Kupitia Mfumo wa NIS...
Sculpture ni tawi la sanaa ya uchongaji lenye sura tatu linaloundwa kwa kuchagiza au kuchanganya nyenzo kama vile udongo, mbao, chuma au mawe na hata plastic
Ni tawi la sanaa ya kuona (visual...
Isa 30:9-10 SUV
[9] Kwa maana watu hawa ni watu waasi, watoto wasemao uongo, watoto wasiotaka kuisikia sheria ya BWANA; [10] wawaambiao waonaji, Msione; na manabii, Msitoe unabii wa mambo ya haki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.