Salaam, shalom!!
Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.
Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa...
Hizi hapa ni kero za kudumu hapa nchini. Hapa nitataja zile ambazo zinaendane na maisha bora kwa kila mtu.
Kero:
1. Ukosefu wa maji safi na salama: Kama nchi bado tumechemka sana.
2. Miundombinu...
Wakati mabadiliko ya kutoka mawimbi ya midwave na short wave,tuliaminishwa kwamba Frequency modulation (FM) itakuwa bora na mkombozi wa wapenzi wa redio.
Ninakubali huenda kwa watu wa miji mikbwa...
Washiriki wa maonesho ya elimu ya juu yanayoendelea visiwani Pemba wamevutiwa na banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), ambapo wengi waliotembelea banda hilo kupata elimu...
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Alhaj. Jabir Shekimweri ametembelea banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika Maonesho ya wakulima 'Nanenane' yanayoendelea katika viwanja...
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imetoa ufafanuzi kuhusiana na malalamiko yaliyoibuliwa na Mdau wa JamiiForums.com alidai kuwa wakati wa Siku za Jumamosi na Jumapili wahusika hawauzi kadi...
Jana kwenye daladala kulitokea ugomvi wa kondakta na dada mmoja, kisa eti huyo dada alikuwa hana nauli kamili hivyo akawa anaomba amlipe konda kwa tigo pesa. Konda akamjibu yule dada.."we umeona...
Wasalaam,
Wajumbe bila shaka mpo salama. Ni muda mrefu sijaandika chochote hapa kijiweni.
Leo nataka kurudia tu kile ambacho mara nyingi kimekuwa kikisisitizwa juu ya matumizi ya simu kwa...
Wakubwa habari za saiz , juzi nimeenda kununua pikpiki nikashangaa napewa kadi kama copy hivi , namuliza vip mbona hii nikama kopy yani nyeupe kabisa , nikambiwa saiz TRA kadi zinatoka plain...
Katika miaka ya karibuni, kumekuwa na juhudi kutoka kwa viongozi mbalimbali wakihimiza vijana na jamii kwa ujumla kuenzi utamaduni wa Taifa letu. Wamekuwa wakisisitiza umuhimu wa kutumia lugha...
Baadhi ya watumiaji tofauti wa mitandao ya kijamii walichapisha taarifa Agosti 05, 2025 wakieleza kuwa kuna chombo cha anga ambacho kimekuwa kikionekana mara kwa mara na kukinasibisha kuwa ni...
Kupitia hapa nitaeleza kila kitu kuhusu Dodoma, picha linaanza kama fundi rangi nimekabidhiwa kufanya finishing jengo moja Chamwino
Aiseee msiichukulie simple Dodoma uchawi upo, ni nyumba ya...
Its either wanaingilia harakati zako humu au basi wewe ni sadist.
Kuna wakati mwanaume alichohangaika na mwanamke ni kupata penzi lake pekee ila siku hizi vijana wa kiume nao wanaumia na maamuzi...
📌 Kwenye jamii ya Sasa Kuna wimbi kubwa la ulevi wa tofauti tofauti... Kuna ulevi wa pombe, uvutaji wa Bangi, sigara na madawa ya kulevya pia.
Ukiachana na vilevi hvyo vingine kwenye kilevi Cha...
Boda boda wa KIVUKONI ni kero kubwa abiria watembea kwa miguu wanapata shida kutembea kwa uhuru hadi kuna Wakati mwingine wanaleta msongamano kwa kupaki bodaboda zao kati Kati ya barabara za...
Salim Kikeke ambaye ni mtia ya Ubunge jimbo la Moshi Vijijini imembidi kudangaya mahali alipozaliwa ili kushinda mioyo ya wajumbe. Huko nyuma wakati anahojiwa alisema kazaliwa mkoani Mbeya, hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.