Mkurugenzi wa Wilaya ya Mkalama, Mkoani Singida, Asia Juma Messos ametoa wito kwa Wizara ya Nishati kuendelea kusimamia vyema Taasisi zake ili ziendelee kutekeleza miradi ya Sekta ya Nishati kwa...
Asalaaam wanajamvi! Kuna kitu kinaitwa Credit Reference Bureau kinahusika na list ya madeni yasiyolipwa na kuripotiwa kwao kutoka taasisi za kifedha(wakopeshaji)
Nahitaji kufahamu haya...
KUTOKA DEMOKRASIA HADI THEOKRASIA
MPITO WA KIUNGU UMEFUNULIWA NA KIONGOZI OLUMBA OLUMBA OBU
“Zamani ya utawala wa mwanadamu imekwisha. Theokrasia, serikali ya moja kwa moja ya Mungu, sasa...
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna hii tabia ya misiba baada ya kuisha unakuta vitu kama vyakula , nguo au vyombo vimepotea baadhi wakati mwingine hata vyote tu.
Na hii tabia haswa ni wadada...
Wadau siku ya pili hii natafuta nyumba ya kulala wageni eneo la Kurasini ni shida. Sijafanikiwa kuna wageni wangu wanataka fikia huku shughul zao zipo ukanda huu.
Gharama ya chumba iwe tsh...
Mwezi Disemba, 2024 ulichapishwa utafiti katika jarida la communication studies in Africa, uliohusu waandishi wa habari wa Tanzania katika kupambana na taarifa Potofu.
Katika waandishi wa habari...
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umetangaza marufuku kwa Watoa Huduma Binafsi kujihusisha na utoaji wa taarifa kwa Vyombo vya Habari kuhusu utekelezaji wa michakato mbalimbali...
My Take
China inakoelekea ni kufanya sheria na lazima Kwa Wazazi kuzaa idadi Fulani ya Watoto.
Hii Ndio hasara ya Maendeleo Huwa inaenda kinyume na mambo ya uzazi.
Kilichoifikisha Dunia huku ni...
Kada wa ccm ndugu Salimu Kikeke ambaye pia ni muumini lialia wa dini ya pendwa ya mnyezi mungu (Islam) ameahidi kutanua WiGo wa soko la Nguruwe hapo Moshi vijijini,ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge...
Hivi kwa akili ya haraka haraka jamii kubwa ya waTz katika familia zao wanaongozwa na watu waliosoma au wasiosoma hasa ukizingatia 75% ya waTz ni wakulima na wafanya biashara na siyo wasomi?
Hao...
Wahusika niliowataja hapo juu, barabara ya Mwanza - Musoma kipande cha kuanzia Masanza Kona hadi Nyakaboja mlikwangua barabara iliyokuwepo mkaacha virakaviraka. Tangu mama alipopita mpaka leo...
Kampuni ya simu ya TECNO Tanzania imemkabidhi zawadi rasmi “Shabiki wa Dhahabu” aliyeibua hisia kubwa mitandaoni baada ya kuonekana na Tshirt ya TECNO kwenye mechi ya Taifa Stars dhidi ya Burkina...
Katika kitabu cha Kutoka 3:5, Mungu alimwambia Musa: "Usikaribie hapa, vua viatu vyako miguuni, maana mahali unaposimama ni ardhi takatifu." Kwanini basi Wakristo wa leo hawatii agizo hilo la...
Barabara ya Mwanza Mjini mpaka Nyegezi imekuwa ni kero kwa muda mrefu kiukweli kwa wakazi wa Mwanza na wengine wanaopita kuitumia.
Hii barabara ni mbovu inasababisha foleni hasa maeneo ya...
Wewe katika huo mtaa, kata, jimbo n.k ndio umeendelea;- kwako kuzuri, watoto wako wanasoma vizuri, mnakula vizuri, unatembelea usafiri mzuri, unasafiri sana nje n.k ila kwa majirani zako au jamii...
Sheikh mkuu wa madhehebu matukufu ya kiislam ya Shia nchini, mpendwa Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge akiongoza watanzania kula kiapo cha utii kwa Kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn...
1.Tuna tumia muda mwingi kubishana kuhusu itikadi za vyama badala ya mustakabali wa nchi yetu. Mwaka mzima ni vyama, vyama ...upuuzi
2.Tunaumizana sisi kwa sisi kisa tu tumetofautiana vyama, kuna...
Meneja Wa TRA Mkoa wa Simiyu Ndugu Joseph Mtandika Siku ya Ijumaa tarehe 01.08.2025 alimtembelea mkuu mpya wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anamringi Macha Kwa lengo la kujitambulisha na kumkaribisha. Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.