Kwa nini jamii inayokuzunguka wewe ni masikini?

Kwa nini jamii inayokuzunguka wewe ni masikini?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,710
Reaction score
63,393
Wewe katika huo mtaa, kata, jimbo n.k ndio umeendelea;- kwako kuzuri, watoto wako wanasoma vizuri, mnakula vizuri, unatembelea usafiri mzuri, unasafiri sana nje n.k ila kwa majirani zako au jamii yako wana maendeleo duni, wakati mwingine ata kula yao ni ya shida; unahisi tatizo ni nini?

Ni ubinafsi wetu au hatutaki na wao wendelee wawe na maisha mazuri kama sisi?

Kwa mtazamo wako, unahisi tatizo ni nini?

Na nini kifanyike ili wao pia wawe na maisha mazuri, mazingira mazuri n.k?​
 
Screenshot_20240718-153201~2.jpg
 
Back
Top Bottom