Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Utupaji hovyo wa taka kando ya Mto Matarawe umekuwa tatizo kubwa linalozidi kushamiri kila siku. Wananchi wanaoishi karibu na mto huo wamegeuza kingo za mto kuwa sehemu ya kutupia taka ngumu, taka...
0 Reactions
1 Replies
719 Views
Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) imezindua teknolojia mpya ya kisasa inayotumia kipimo cha DNA kubaini magonjwa ya wanyama na binadamu, visumbufu vya mazao, na kutoa majibu...
1 Reactions
2 Replies
425 Views
Taifa huru linaundw na katiba iliyo bora Muda wa installation ya new version ya checker unahesabika,hakuna mtu atakaye amini tukio la ajabu toka nia kuundwa na waasisi wenye assigning number...
3 Reactions
23 Replies
802 Views
Jino moja la mbele na moja la pembeni yametoka tu yenyewe japo yalionekana kama yamelegea ghafla na kutoka Je inamaana gani.
0 Reactions
2 Replies
280 Views
Wakuu, hili swali limekua linanisumbua kichwa changu sana, tafadhari sana msinione km napatwa na wazimu kuhoji hili swali la jinsia ya Mungu. Ila wakuu naomba kwa anaefahamu tafadhari sana...
3 Reactions
181 Replies
4K Views
Wengi Tunategemea sana kutangaza biashara zetu kupitia mtandao mnazima ili iweje ..nmepoteza hela. Mmefunga Twitter (x) , sasa hivi mmehamia Facebook. Fungueni hii mitandao, wengine siasa...
34 Reactions
111 Replies
5K Views
"Ni msiba mzito, ametutoka jamani, ametuachia pengo kubwa! Ooh, tumempoteza. Ni vigumu kueleza machungu tuliyo nayo mioyoni. Tutaendelea kumkumbuka daima. Pumzika kwa amani(R.I.P.)" Kila dakika...
5 Reactions
42 Replies
3K Views
Najua wale chawa wa Jf,UVCCM,wasanii,CCM mafisadi na wengine tutapokea kila aina ya kumsifu Marehemu Ndungai usije shangaa mpaka Samia na genge lake la CCM wakasema alikuwa magufuri mwengine.
2 Reactions
10 Replies
584 Views
Hizi shule zinachukua wanafunzi wa wastani wa juu kabisa, yani wanafunzi waliofanya vizuri darasa la saba kwa kifupi wanachukua Cream tupu, Hapa naongelea shule kama Kibaha, Mzumbe, Kisimiri...
5 Reactions
42 Replies
7K Views
Mwanamke huyu huyu anayeweza kukubali kuolewa kuwa mke wa pili kwenda kujaribu kushare mapenzi na mwanamke mwenzake au kuwa mchepuko ili hali anajua awala yake ana mke, ndio huyu huyu anaulizia...
0 Reactions
6 Replies
334 Views
Uliyepata tenda ya Mbagala,Tegeta,Gongolamboto ili yasikukute ya kimara zingatia haya mambo kamwe hutofilisika ila ukifanya masihara tu utajuta Mradi wa kimara umeuliwa na wafanyakazi wenyewe...
9 Reactions
43 Replies
2K Views
Hakika inastaajabisha! Kuna ndugu yangu mmoja ni kada wa chama cha siasa hapa Afrika Mashariki, kwa kweli hashikiki linapokuja suala la elimu. Huyu "kada mbubujikwa" ni miongoni mwa wale makada...
5 Reactions
15 Replies
544 Views
Wakuu, kila mtu atasalimiwa kwake, Wakuu, nataraji kuanzisha hio biashara tajwa kwa mtaji huo hapo juu (13M) hadi kodi ipo humo humo, Kwa kuanzia nataka nianze na vitu vidogo vidogo sana sana...
4 Reactions
48 Replies
7K Views
Katika juhudi za kuwawezesha vijana kiuchumi kupitia kilimo cha kibiashara, mkoa umeanzisha shamba la pamoja la kahawa lenye ukubwa wa ekari 300 katika kijiji cha Makongora, wilayani Muleba...
1 Reactions
10 Replies
530 Views
“Simulizi za Mathayo” Mathayo anasema kuhusu Yohana: “Huyu ndiye aliyenenwa na nabii Isaya aliposema: ‘Sauti ya mtu aliye jangwani: Itengenezeni njia ya Bwana, nyoosheni mapito yake.’” (Mathayo...
1 Reactions
4 Replies
245 Views
Umoja na mshikamano imeelezwa kuwa ni silaha pekee ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), ya kuimarisha mtangamano imara na wenye nguvu, utakaowezesha kufikia malengo...
0 Reactions
0 Replies
190 Views
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Bi. Marianne Young ( Wa kwanza kushoto), akifuatilia kwa makini maelezo ya utendaji wa Kiwanda cha Bia cha Serengeti kilichopo Moshi, yaliyotolewa na...
0 Reactions
0 Replies
232 Views
Back
Top Bottom