Ifike hatua wananchi tusimame imara tukombea taifa kutoka mikononi mwa fisi mla watu.
Hata wana CCM tuungane kwenye nrne kwa sababu kama inadaiwa wagombea wanatumia rushwa je, inawezekanaje aende...
usije sema sikusema, jamaa yangu kaa aplai loan alikua na immediate cause kwenye mfumo wao ,mpaka sasa wiki imepita kwenye mfumo wao inasoma complete disbursed ila kwenye account hakuna pesa...
Serikali kwa kushirikina na Shirika la Kimataifa la Ujerumani Hellen Keller, imewatibu wagonjwa wa vikope na kutoa tiba ya upasuaji wa mtoto wa jicho kwa watu wapatao 100,000 katika Halmashauri...
Serikali ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma iliangalie hili la Ukosefu wa taa za usiku barabara ya bahi road kipande cha machinga complex mpaka 4ways ni hatari sana kwa watumia vyombo vya moto na...
Nane Nane au Sikukuu ya Wakulima huadhimishwa Nchini Tanzania Agosti 8 kila Mwaka ikilenga kutambua Mchango wa Wakulima na Sekta ya Kilimo kwa Taifa.
Sherehe za Nane Nane huratibiwa na Wizara ya...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), limemsitishia huduma ya umeme Askari wa jeshi la Polisi anayeishi kwenye moja ya nyumba za jeshi hilo za Oysterbay jijini Dar es Salaam, baada ya kubaini...
Serikali imejenga na kukarabati zaidi ya masoko 50 na maghala 360 ya kuhifadhi mazao. Vilevile, imeanzisha vituo zaidi ya 30 vya huduma za pamoja (One Stop Centers) vinavyotoa pembejeo, ushauri...
Kibiashara nini kinaweza kusababisha kampuni kubwa kama tigo kubadilisha jina mara nyingi hivyo(mara nne)?
Zipi faida na hasara kibiashara kufanya hivyo?
Habari wanajamvi!
Utaratibu wa ulipaji serikalini wa fedha zote huanza na maombi ya fedha kwa jambo linalokusudiwa mfano manunuzi au posho na haya maombi ya fedha kwa namna nyingine huitwa...
Serikali imewataka wachimbaji wadogo kuchangamkia fursa ya kuomba leseni katika maeneo wanayofanyia shughuli zao ili kuepusha migogoro inayojitokeza mara kwa mara.
Wito huo umetolewa na Mkuu wa...
Ndugu zangu kuna hili janga linalowakumba wamiliki wa Maduka ya Dawa Nchini, kuna ukiritimba na unyanyasaji wa hali ya juu kwa Wafanyabiashara za Dawa! Hawa watu wanafanya biashara kama wakimbizi...
Isa 29:15 SUV
[15] Ole wao wanaojitahidi kumficha BWANA mashauri yao, na matendo yao yamo gizani, nao husema, Ni nani atuonaye? Nani atujuaye?
Kuna watu wanafanya vitendo viovu kwa siri...
Ni wazi kesi dhidi ya wapinza zinatengenezwa na serikali kwa kushirikiana na wapinzani husika i.e:Lissu kwa maslahi ya viongozi wa serikali au chama tawala na viongozi wa upinzani ambao ni sehemu...
Je, unafahamu uchelewaji wako kutasababisha historia mbaya ya CRB? Epuka historia mbaya ya mikopo lipa leo Tsh 800000. Kulipa piga *150*01#>7>4>3 au Mixx by Yas app
Kabla ya maendelea makubwa ya Teknolojia hivi ndivyo Tulipotoka Miaka hiyo ambapo unachokiona ni kifaa cha kusikiliza Sauti , kinajulikana kama kitafuta sauti au acostic mirror ๐ช kilikua...
Mtiania wa nafasi ya Ubunge jimbo la Chato Kaskazini Cosmas Makongo apinga matokeo ya kura za maoni ndani ya CCM zilizofanyika siku ya Jana Agost 4 2025, katika jimbo la Chato Kaskazini, adai...
Waandishi wa habari Watatu akiwemo Julius Msagati wa EATV wamekamatwa na maafisa wa Jeshi la Polisi leo wakiwa katika majukumu yao ya kikazi wakifuatilia na kuripoti matokeo ya kura za maoni kwa...