Tunza Beach na Malaika Beach resort nimewavulia kofia, Dar chamtoto

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,842
Nipo jiji la Mwanza, Jana jioni nikasema sio mbaya nitafute sehemu ya kulala na kupata kinywaji basi mm huwa nauliza wenyeji sehemu nzuri ya kurelax, wakasema niende either Tunza au Malaika. Nikaenda Tunza kupata chakula baada ya hapo nikamalizia Malaika Beach resort maana vipo karibu nikaenda kulala

Malaika Kuna hotel nzuri sijawahi kuona, huduma ni royal treatment hata jiji langu la DAR ES SALAAM halifukuti, mbali na hapo wana lounge ya kifahari haloooo , yani utadhani upo vIsiwa vya Hawaii kumbe bongo

Ndugu zangu tafutenI hela maana Jana tu imekata million mbili na nina siku kumi kuanzia Jana means bila million kumi plus nitahama niende Bwiru huko
 
Back
Top Bottom