Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

NUKUU ZA LEO; 1. “Madaraka hulevya, lakini madaraka makubwa hulevya chakari.” Lord Acton. 2. "Binadamu wote ni sawa, lakini baadhi ya binadamu wana usawa zaidi kuliko wengine" George Orwell...
1 Reactions
5 Replies
502 Views
Watu 50 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Geita kwa tuhuma za kuchoma hifadhi ya msitu na kufanya vurugu. Katika taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Agosti 15, 2025 na Kaimu Kamanda wa Polisi...
1 Reactions
9 Replies
486 Views
Hali ya sintofahamu imeibuka katika Jimbo la Mbarali, Mkoani Mbeya baada ya baadhi ya wananchi kutishia kususia Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025, wakipinga matokeo ya kura za maoni...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Balozi Nchimbi Nyerere alionya vijana wa Tanzania wasikubali kupotoshwa. Ameeleza kuwa baba wa Taifa alitamani kuona taifa lina wasomi ambao watalitumikia taifa. "Ndiyo maana baba wa Taifa...
1 Reactions
5 Replies
355 Views
Anonymous
Niliagiza mzigo kutoka dar kuja kigoma jana tar 15/08/2025 kupitia ATCL kutokana na uharaka niliokuwa nao, ambapo mzigo huo ulifikishwa saa 4 asubuhi na ratiba ya ndege ilikuwa inaonyesha...
0 Reactions
0 Replies
341 Views
Salaam Afrika ,Salaam Wana na Binti wa mama Afrika,Enyi watu wake aliyewaridhia.ni ndoto ya kila mwafrika wa kweli mwenye maono ya ukombozi kuona waafrika wanakuwa kitu kimoja,wanakuwa taifa moja...
3 Reactions
48 Replies
2K Views
Hakuna aliye juu ya sheria, lakini pia kamwe asivumilowe mtu yeyote yule ambaye anajaribu au atajaribu kutugawa kwa misingi ya kidini au kueneza chuki za kidini. Huyu ndugu Gwajima ni wazi...
2 Reactions
14 Replies
695 Views
Mheshimiwa Waziri wa Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu, Kwa heshima na taadhima, napenda kuwasilisha malalamiko na ushauri kuhusu hali halisi ya wafanyakazi wengi hususan katika sekta binafsi hapa...
0 Reactions
8 Replies
482 Views
🗯️ Je ulikua unahitaji siku moja kupitia simu yako kuweza kuangalia sayari mbalimbali zilizopo angani bila kupata tabu yoyote, naam leo nakuletea kifaa ambacho kitakupa uwezo wa kuangalia sayari...
6 Reactions
9 Replies
465 Views
Mathew 10;16 "Behold, I send you forth as sheep in the midst of wolves: be ye therefore wise as serpents, and harmless as doves." It is one of the very controversial verses in the bible with...
1 Reactions
4 Replies
278 Views
Katika dunia ya sasa yenye changamoto nyingi za kimaadili, ni wajibu wa kila mzazi, mlezi na taasisi kuhakikisha watoto na vijana wetu wanalelewa katika msingi wa maadili mema, heshima, utu, na...
1 Reactions
1 Replies
324 Views
Hii ni Amri ya NANE kati ya AMRI KUMI ZA MUNGU. Usimshuhudie jirani yako uongo*: Hivi karibuni wenzetu wachache wanaenda kutenda DHAMBI HII KUBWA. Kama ni kweli kwanini USHUHUDIE KWA KUJIFICHA...
0 Reactions
3 Replies
278 Views
TAARIFA KWA UMMA WITO KWA JESHI LA POLISI MKOANI PWANI WILAYA YA MKURANGA KUWAPA HAKI YA DHAMANA VIJANA WANNE (4) WANAOSHIKILIWA KATIKA KITUO CHA POLISI MKURANGA 15 Agosti 2025, Dar es Salaam...
1 Reactions
5 Replies
838 Views
Kama nilivyokwisha kumsihi Mh.Tundu LISSU humu jukwaani, na kumtaka aiponye nafsi yake , kwani kundi la waTanzania masikini analotaka kulisaidia halina habari na Wala halijielewi. Hizi ni baadhi...
0 Reactions
12 Replies
753 Views
TAARIFA KWA UMMA. Habari marafiki: Taasisi ya Tiba kwa Ushauri ya Hospital ya Mirembe Dodoma inasema : - Kiwango ambacho watu hufa ghafla kinazidi kutisha. Wengi wetu tunajua kuwa tunapitia...
5 Reactions
14 Replies
863 Views
Mkufunzi kutoka Chuo cha Uhifadhi Wanyamapori cha Afrika, Mweka, Tito Lanoy, amesema wamefanikiwa kumwondoa nyoka aina ya chatu, ambaye alikutwa kwenye shamba la mfugaji akiwa amekamata kondoo na...
5 Reactions
5 Replies
674 Views
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amewaomba Madaktari(Wataalamu) wa macho Kuendelea kufanya Utafiti wa kina juu ya chanzo cha matatizo ya uoni hafifu na kubaini tatizo na njia za kutibu ili...
1 Reactions
2 Replies
289 Views
Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, ameeleza kuwa dawa za Virusi vya Ukimwi (VVU) zipo na zinatolewa bure nchini...
1 Reactions
3 Replies
434 Views
Kikao cha Kawaida cha Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ambacho ni maandalizi ya Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC kimehitimishwa jijini...
0 Reactions
2 Replies
439 Views
Serikali imeliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) liharakishe mchakato wa kuwakopesha wateja wapya majiko ya umeme. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko ametoa agizo...
3 Reactions
6 Replies
715 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…