Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Akimpenda dume fulani anampa chenyewe,akisumbuliwa na hajampenda dume anampa famba ajisukutue wee😃
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Unaamini muonekano unaweza kukupa au kukunyima fursa ???
10 Reactions
101 Replies
2K Views
Kulingana na report mbalimbali, Nchi ya Tanzaia ndio nchi pekee africa inayoshikilia record ya kuingiza bidhaa kwa wingi kutoka Japan, na hapo tunazungumzia used cars. Nitaweka viambatinisho...
3 Reactions
2 Replies
377 Views
ALIYEKUWA Askari Polisi FFU, Ramadhani Hassan Ali maarufu Afande Rama, amefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Vuga, kujibu mashtaka mawili yanayomkabili. Mbele ya Hakimu Khamis Ali Simai...
10 Reactions
177 Replies
18K Views
Wakuu, kwamba naomba msinichoke hapa kuna kitu kinaniumiza kichwa sana sielewi. Hapa majuzi katika pitapita zangu za hapa na pale humu nyumbani ndani nimepishana na nyoka ana kichwa kidogo sana...
2 Reactions
7 Replies
849 Views
Hakuna maneno mengi acha niwaweke video msikilize wenyewe Ova Mshana Jr Extrovert RRONDO Black Sniper Erythrocyte
10 Reactions
109 Replies
6K Views
Nasikia presha kwenye sikio, kelele sikioni na pia kama niko majj hivi, hali ya sikio kuwa kama kuba kitu kimeziba. Nisaidieni wakuj
1 Reactions
6 Replies
756 Views
Rostam ameamua kuliacha wazi jimbo la igunga,na pia kujitoa katika baraza kuu ka NEC.Mpaka sasa Igunga hawana mbunge.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wiki Moja iliyopita NILILIPIA BIDHAA kutoka Amsterdam mtandaoni, lakini KIASI kama KILE nilicholipia wamekishikilia. Yaani sitaweza kutoa eti mpaka wakamilishe muamala kwa upande wao huko (Kwa...
0 Reactions
1 Replies
201 Views
Kwanza kabla ya kuanza story...nitoe big up kwa IBRAH THE HUSTLER wa ukoo flan Mau Mau. Moja ya mabroo wenye roho nzuri sana..nje ya maisha ya mziki. Nitoe big up pia kwa home boi mwenye roho ya...
63 Reactions
565 Replies
60K Views
Anonymous (d037)
Mimi ni miongoni mwa Wafanyakazi 1,299 waliokuwa Watumishi katika Mradi wa AFYA ENDELEVU chini ya BENJAMIN MKAPA FOUNDATION uliokuwa unafadhiliwa na USAID. Baada ya USAID kufuta Mradi wa AFYA...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Salamu kwenu nyote. Kikwetu tunasema, “ndege asiyeruka hawezi kujua wapi ulezi umekomaa”. Leo ninapenda kuwapa ABC za namna ya kufika nchi za wenzetu kwa wale wenye ndoto za kubadili mazingira...
122 Reactions
816 Replies
112K Views
Salam wanajukwaa, Hivi karibuni Serikali kupitia UTUMISHI wametoa waraka mpya unaofanya marekebisho ya kimuundo na mishahara kwa baadhi ya kada ikiwemo Afisa Rasilimali Watu na Maafisa Tawala...
0 Reactions
2 Replies
444 Views
Dunia au Taifa Inatawaliwa na Nani? Deep State Je, Wanaojua Kila Kitu na Wenye Uwezo Mkubwa Kabisa Duniani Wanafanya Kazi Kwa Siri? Tunapokua, tunafundishwa kuwa viongozi wa kitaifa kama...
0 Reactions
0 Replies
402 Views
  • Closed
Kwa kifupi tu ni kwamba ulichokifanya Jana ni Akili ya Kitoto na Kipuuzi ya kutaka sasa Kuliingiza Kanisa Katoliki katika Sakata lako na Utawala wa sasa nchini. Baada ya kuona huungwi mkono na...
29 Reactions
100 Replies
5K Views
Jengo la TRA Mnazi Mmoja barabara ya Kipata na Lumumba linateketea kwa moto muda huu ============== Moto mkali umezuka leo Januari 30, 2025 katika Jengo la TRA lililopo eneo la Lumumba, Kariakoo -...
9 Reactions
127 Replies
8K Views
Mfumo wa Tausi, Tamisemi ulipozinduliwa nilifurahi sana maana nilijua utatatua changamoto nyingi ikiwemo ununuzi wa viwanja kwa njia ya kielektroniki Ununuzi wa viwanja umekuwa tangu zamani...
2 Reactions
3 Replies
823 Views
Nataka nikanunue za masafa marefu
2 Reactions
30 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza Gavana wa BOT aamuru Mabenki yanayo toa mikopo kwa wananchi na haswa watumishi wa umma kushusha riba hadi kufikia asilimia kumi 4. Hakiki kupunguzwa kwa riba kutarahisosha ukali...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Salama wanajukwaaa. Leo nataka kuwashauri TAKUKURU.maana mmekuwa wasumbufuu kazi kujitumisha meseji zenuu. Unaangalia ukijua ni ujumbe wa maana kumbe ni wa akina TAKUKURU. KAMATENI Wana CCM...
5 Reactions
5 Replies
348 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…