Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WanaJamiiForums Habari zenu, Nimenunua Pikipiki Mpya kwenye kampuni Fulani Tangia mwezi wa Tatu Hadi kufikia muda huu sijapata plate number na Kadi nikiwapigia wananiambia Chassis yangu...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Vodacom kwa kipindi kirefu umekuwa ni mtandao tegemezi kwasababu ya ubora wa huduma zao zinazopatikana sehemu nyingi nchini kuliko mtandao mwingine kama ifuatavyo; 1. Huduma za kipesa ( mpesa)...
26 Reactions
129 Replies
13K Views
Ndugu zangu watanzania, Leo sina maneno mengi ya kuongea nanyi Bali nimewaletea tu matokeo na FAIDA ya ELIMU bule katika awamu ya sita Hakika mama katufikia watanzania na tuna mpenda na...
0 Reactions
1 Replies
204 Views
Kama ana uchungu na Tz, ni nini kinamzuia kuongea hapo hapo??.....ni anataka kuogopewa ili kupata maslahi yake binafsi?? Nyie wa tz kina Mshana Jr, mbona akili zenu ndogo sana, yaani mnategemea...
2 Reactions
18 Replies
949 Views
HUU UTABIRI WA SHEIKH WETU UTATIMIA KWA HALI YA KISIASA YA SASA AU NDIO MASWALA YA IMANI
1 Reactions
14 Replies
812 Views
Huko uliko mungu aendelee kukuweka,tulishindwa kukuelewa kipindi kile lkn kwa Sasa tungekuelewa vinzuri,endelea kupumzika kwa aman,kazi ulifanya.
3 Reactions
18 Replies
851 Views
Video: Wasafi TV Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia kwa katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi, Dkt. Habiba Hassan Omar imesema miradi ya flyovers, daraja la Uzi pamoja...
1 Reactions
30 Replies
1K Views
Jamaa yangu juzi kafunga 40yrs old, Analalama ameanza kuumwa viungo vya mwili vibaya mno, anadai miguu yake imekufa ganzi Muda MREFU unyayoni, Analalama mwili wake wote kuwa Kuna vitu vinamchoma...
2 Reactions
5 Replies
447 Views
Niko naangalia la liga hapa ñaona kama inascratch inaleta mawimbi, na hata mchana niliona kwenye MECHI ya al nassr Hilo tatizo, lakini za CHAN hazina shida. Ni king'amuzi changu au kuna mwingne...
0 Reactions
5 Replies
459 Views
Tunaogopa kujitambulisha na kujulikana kwa mamlaka au nini haswa?🤣🤣 Au it is not just worth it kuwa na verified badge?🤔
0 Reactions
1 Replies
190 Views
Dodoma, 20 Agosti 2025. Wiki moja baada ya uzinduzi wa kitaifa jijini Dar es Salaam, kampuni ya huduma za kifedha kwa njia ya simu, Mixx, imeendelea na mpango wake wa kusogeza karibu huduma za...
0 Reactions
0 Replies
285 Views
Miongoni mwa matapeli waliowahi kutokea nchi hii basi mmoja wapo ni John Pombe Magufuli. Alikusanya umati wa bodaboda, machinga na mama ntiilie na kuwadanganya kuwa wakate vitambulisho vya...
2 Reactions
13 Replies
598 Views
Taarifa ya Kitengo cha Mawasiliano Serikalini ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa imeeleza kuwa usafi umefanyika katika vyoo vya Shule ya Msingi Lima baada ya malalamiko kuhusu uchafu na ubora wake...
0 Reactions
5 Replies
419 Views
Wakuu mimi ni kijana wa miaka 28 elimu ya form six chuo niliishia mwaka wa 2 kwa sababu ya kuugua baada ya hapo nikajikita zaidi kwenye biashara ambazo ndio zinaharibu akili yangu. Tatizo kubwa...
14 Reactions
31 Replies
2K Views
Wokovu kutoka kwa nini? Unaporudia neno “wokovu” bila kuelewa, unakariri hadithi ya kubuni si ujumbe halisi. Unawasikia Wakristo kila mahali wakisema: “Yesu aliniokoa!” “Alinikomboa kwa damu...
1 Reactions
19 Replies
685 Views
Wizara ya Afya Zanzibar kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) imefanya utafiti wa Afya ya Akili kwa Wanawake Wajawazito uliofanywa na kubaini kuwa asilimia 30 ya Wajawazito wana tatizo...
0 Reactions
5 Replies
837 Views
Wakuu, Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Mwanzo katika awamu zingine wachimbaji wadogo hawakuwa wananufaika sana na sekta hii kutokana na bei ya madini na sheria kuwabana Imagine gram 1...
3 Reactions
10 Replies
413 Views
Biashara huwa Kuna kupanda na kushuka, club element wasipofanya mapema reform ya wafanyakazi basi Ile club haishuki inaenda kudondoka na kufa kabisa Nimeamua niandikie leo japo ni tukio...
18 Reactions
187 Replies
9K Views
Moja kati ya nyenzo muhimu kwenye maisha yangu ni hii ChatGPT yaani toka nimeifahamu sijawahi juta na mpaka sasa tayari kupitia msaada wa ChatGPT nimefanikiwa kuingiza 100 Million katika michongo...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Tukio kama hili ni nadra sana kutokea Wapo Watu wa watatu kila mmoja kwa umuhimu wake anataka kutumia barabara.. Sasa nani ampishe nani Kuna king'ora cha mwanasiasa, anawahi anakojua Kuna...
10 Reactions
27 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…