Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,067
- 871,235
Kwenye press yake ya mwisho ile ya kushtukiza kavishutumu vyama viwili vya ACT Wazalendo na CHAUMMA kuwa ni vyama pandakizi vinavyofanya kazi ya CCM kwa manufaa ya CCM
Amehoji kuwa ni kichekesho kikubwa kwa mgombea wa ccm kuingia kwenye ushindani wa uchaguzi na vyama pandikizi huku mpinzani wake mkuu kamuweka mahabusu kwa kesi ya mchongo!
Ni kawaida kama ukishutumiwq jambo ukanushe kwa hoja na ithibati, Kukaa kimya ni kukosa hoja, kukosa jibu ama kuthibitisha tuhuma.
Jamaa wawili wa CHAUMMA, James na Yerico badala ya kujibu hiyo hoja wao wamebaki kuwabeza na kuwashambulia CHADEMA na viongozi wao.
Mpina kaamua kujikalia kimya maana hakutegemea kama litasanuka mapema
Vyama kazi maalum, Vyama pandikizi kaeni kwa kutulia mtumikie ujira wenu.. Kuleni haraka mshibe October sio mbali Mnatumika kama toilet paper.
Mtakapoanza kutoa milio .. Toeni kimyakimya maana hakuna atakayewaonea huruma... Jiulizeni Msigwa yuko wapi leo!