Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Haya wazee wa CC timu mtueleze kuna nini leo. Wazee wa CCM mikataba ya Kimataifa imewashinda na hii convoy ya Nyerere road iwashinde? Kunani leo? Maana hizi gari za heavy duty mara nyingi...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Nilikuwa nimeripoti chuoni mwaka 2011 kwa mara ya kwanza baada ya kuhihitimu form 6, Nilifikia hostel mnakaa watu wawili kwenye chumba, nilimkuta dogo flani yeye kamaliza form 4, alikuwa...
53 Reactions
96 Replies
16K Views
Wimbi la makampuni feki yake kuchimba visima jijini Dodoma (na mikoa mingine) limekua kwa kasi sana, kutokana na changamoto ya maji na kasi ya ukuaji wa mji. Sasa kushindana bei, wengi wao...
31 Reactions
27 Replies
2K Views
Kama unajihusisha na kubeti mara kwa mara, kuna magonjwa na matatizo ya kiafya ambayo yanaweza kukupata, hasa kutokana na msongo wa mawazo na athari za tabia hii. Baadhi ya magonjwa hayo ni: 1...
1 Reactions
4 Replies
727 Views
Mtanzania leo siyo tu maskini, bali amegeuzwa kuwa mtumwa wa mifumo ya kifisadi. Kodi yake inanyonya damu yake, lakini matunda yake yanaliwa na mafisadi wachache waliovaa suti na kujipa heshima za...
2 Reactions
3 Replies
434 Views
SERIKALI YAWEZESHA HUDUMA ZA POSTA KIDIJITALI KUPITIA VIFAA VYA TEHAMA KUTOKA UCSAF ▪️ Postamasta Mkuu aahidi kusambaza vifaa hivyo katika mikoa yote ya Posta nchini Waziri wa Mawasiliano na...
0 Reactions
0 Replies
260 Views
Baadhi ya wananchi wamekumbana na changamoto ya kufungiwa namba zao za Nida kwasababu ya kutokuchukua kadi zao za Nida. Tatizo hili limesababishwa na serikali yenyewe kwasababu imekuwa ikitumia...
1 Reactions
4 Replies
731 Views
Wakuu naomba kujua nawezaje kupata kitambulisho Cha nida kwa nimeshapata namba Sasa sijajua utaratibu wa kukipata hiki kitambulisho Cha nida sababu namba nilizojaza kwenye fomuya kuombea nida...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Yesu alisema wazi kwamba Yeye ni Mungu: “Mimi na Baba tu umoja” (Yohana 10:30), na pia: “Yeye aliyeniona mimi amemwona Baba” (Yohana 14:9). Haya siyo maneno ya nabii wa kawaida, bali ya Mungu...
1 Reactions
23 Replies
967 Views
UKIWA KIJANA PESA YAKO IENDE KWENYE HAYA MAMBO. UTATOBOA TUU! KAMWE USIHONGE WANAWAKE! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Bado mdogo, unanguvu, ngozi haijalegea na kusinyaa. Ukivaa nguo...
69 Reactions
157 Replies
8K Views
Kamata Biblia yako takatifu turejee utabiri wa nabii Isaya katika Isaya 9:6 Katika Isaya 9:6, neno la Mungu linasema; "Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto wa kiume; Na uweza wa...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Tembelea Norway wanafundisha katika Kinorwei. Tembelea Denmark wanayofundisha kwa Kidenmark. Tembelea Ufini wanafundisha kwa Kifini. Tembelea China wanafundisha kwa Kichina. Tembelea Japan...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
Rais Samia amejenga kilometa mpya 20,000 za changarawe chini ya wakala wa barabara TARURA kama msingi wa Dira2050. Rais Samia ili kuifungua nchi zaidi hasa vijijini tyari ameweka changarawe...
3 Reactions
21 Replies
637 Views
Rais Samia ameongeza mapato ya utalii wa kimataifa kutoka $700m au TZS1.82trilioni hadi $3.9bn sawa na TZS10.14trilioni Tofauti ni Trilioni 8.32 na utalii wa ndani umeingiza TZS210bn. Mwaka 2024...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Wakuu Hapa tunafanyaje ili kulipia hapo kwa njia hizi?
0 Reactions
1 Replies
211 Views
Simsikii katika sakata zote almost a month now. Yuko wapi Ngurumo Ansbert. Busara zako zinahitajika sana kipindi hiki cha Polepole
2 Reactions
2 Replies
301 Views
Ukisikiliza kibao cha “Rafiki” kilichoimbwa na Mr. Nice enzi hizo, utasikia akimtaja Sunda. Hakuimbwa kwa bahati mbaya. Huyu jamaa ni miongoni mwa watu walioshika pesa za madini enzi hizo hapo...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
== Waziri mkuu amesema kuwa Chini ya Rais Samia, mikataba minne ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) yenye thamani ya shilingi bilioni 681.53 imesainiwa mwaka 2024/25 kwa ajili ya...
0 Reactions
2 Replies
264 Views
The world's longest recorded fart lasted for two (2) minutes and forty two (42) seconds. Bernard clemmes of London holds this world record.
1 Reactions
5 Replies
382 Views
Kufuatia mafuriko ya SGR (Dar-Moro- Dodoma) mabasi ya Shabiby na Abood wamejiongeza na kutafuta route mpya. Asante Samia
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…