Mimi ni MKKKT wa kuzaliwa wazazi wangu wote ni wa KKKT ,nimekuwa mwanachama na kiongozi wa UKWATA nikiwa shule ya msingi sekondari ,advanced sec school na chuo ,hata sasa pia ni kiongozi wa...
Katika historia yote ya mwanadamu, swali kuu limekuwa Kwa nini tupo hapa Ulimwenguni? Je, kuna maana yoyote ya maisha haya, au ni mwendelezo tu wa mzunguko wa kuzaliwa na kufa?
Kwa macho ya...
###Lengo la uzi halina kusudi la kuisema vibaya taasisi ya UDSM bali unaelezea LIFE EXPERIENCE###
Corona hiyo inaanza mwaka 2019 mwishoni inaenda weweee zinafanyika jitihada nyingi za kutengeneza...
Habari za Jumapili!
Huko mitandaoni wakati napitapita nikakutana na Clip inayomuonesha De. Chris mauki akiongea.
Dr. Mauki anasema anaamka Alfajiri saa 10 kwenda kufanya mazoezi pale Udsm. Akiwa...
Tumetoka arusha asubuhi tumeenda Rombo kumzika jamaa yetu aliyekufa kwa ajali ya pikipiki
Wakati tunarudi usiku saa mbili nakutana na ajali ya pikipiki kijana kapata ajali kafa hapo hapo kichwa...
Mtu unamwambia sipendi kupigiwa simu napendelea sms tu mtu bado anasumbua anataka muongee (voice call) mpaka nimemuliza hivi kuna njia moja tu ya mawasiliano ?
Yaani watu hamuwezi kungumza bila...
Leo waafrika dini zimewapumbaza mfano mtu unajua siasa unajibiwa na mtengeneza muvi.Hapa ndio utambue kuwa hata mnara wa babeli uliangushwa na wachambuzi ambao akili zao zilikuwa ndogo kwenye...
Zipo changamoto nyingi katika elimu yetu ya shule za msingi za serikali ambapo watoto wengi wa maskini na kipato cha chini ndo wanaposoma zinachangamoto ya uhaba wa ualimu, wanafunzi kukaa chini...
Nimevutiwa na huu ubunifu na kipaji.. Pengine mitaala yetu ijayo itaangazia zaidi kwenye kutoa elimu isiyo tegemezi kwenye kuajiriwa tuu bali kwenye ubunifu, kuvumbua vipaji, kukuza vipaji...
Nimekaa nikifikiri Kwa muda sasa ni jinsi Gani mfanyabiashara mwenye mtaji wa 10 ml, alipaye Kodi ya pango ml 2, afanyaye biashara ya stationery, household goods, saluni nk nk awezaje kulipa Kodi...
Siku za hivi karibuni amemfungulia mke wake ambaye ameonekana ku- trend na shuhuda tata,kama vile kujaza mtungi wa gas kwa kupulizia na mdomo,kuwachukia wanaume wanaolala kwamba bora wakazini na...
Baada ya miaka mingi kupitia hatimaye Google wamefanya Mabadiliko kwenye app ya phone call kwa Watumiaji wa simu za Android.
Lakini pia kwa Watumiaji wa iphone walifanyiwa Mabadiliko kupitia ios...
Habari za wakati huu wanajukwaa?
Naomba kupata mawasiliano ya Mtanzania anayeishi nchini Namibia,Kuna jambo la muhimu naomba kumshirikisha ili niweze kupata ushauri stahiki.
Kama yupo yeyote...
Kutokana mchango wake katika Sanaa ya Muziki, ni maoni yangu serika ijenge Musical Museum ambayo itaonesha vifaaa na picha za wasanii wa wamuziki wa Dansi.
Na mtangazaji nguli...
"Hakuna mtu atakayekufa kwa dhambi za mwingine."
Ezekieli 18:20, Yeremia 31:30, Kumbukumbu la Torati 24:16
Yesu
"Mtakufa katika dhambi zenu" Yohana 8:21
Na hakuna mahali popote katika Biblia...