Kwako Kaka
JINSI GANI TUTAZUIA MAFISADI WA SASA NA WOTE WAJAO KWA ASILI YETU HII YA UBINADAMU WA KUPENDA FEDHA.
Kichwa cha habari chajieleza;
Moja ya vitu ambavyo huwa vinanichanganya...
Tujifunze hili kutoka kwa Nyerere. Alikuwa na akili ya kutosha tu yule mtu lakini alijua Ili aongoze lazima awe mjanja. Akaongeza ujanja katika akili yake na zikampa majibu ya kushirikiana na Kila...
UKIFUATILIA KILE KINACHOITWA UJANJA WA MJINI NDIO USHAMBA WENYEWE
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hakuna Watu Washamba na wajinga kama vijana wa mjini wale wanaojiita na kujiona wajanja...
Mimi nimekuwa mteja wa hizi bank za hapa nyumbani ila hii bank ya NMB ndiyo bank iliyoongoza kuniginbanisha na wateja
Hakuna bank yenye mfumo mbovu kama nmb imagine nimefanya muamala kutoka nmb...
Ukitaka kuwa Content creator umiza akili au ukiwa mzee wa kukopi jifunze kutoa Credit .
Robert Heriel Mtibeli anatafutwa Sana so wewe unajivisha uhusika wake na kujifanya ndo yeye unakuwa...
Bunge la Malaysia limepitisha hukumua ya kupigwa viboko na kwenda jela angalau maiezi 6 au vyote kwa pamoja kwa mtu ambaye hatakwenda kuswali swala ya ijumaa .
Hii ni baada ya kuongezeka kwa watu...
Kiasi cha kodi Kinacholipwa serikalini kwa kuingiza bidhaa Hapa nchini Tanzania .
Licha ya kuwa Kiwango hutegemea aina ya bidhaa, na huwekwa kwa asilimia ya thamani Lakini Bado naona...
Kuna homeboy tulisoma naye zamani, lakini tukapoteana kwa miaka kadhaa baada ya chuo. Miaka mitatu ilikuwa imempita akiwa mtaani hana kazi, hana ramani, hana pa kuanzia.
Siku moja akanipigia...
TRUE STORY: KUTOKA KWENYE KUONGEA KITHEMBE NA KUGUGUMA GUGUMA MPAKA KUWA MWALIMU MAHIRI WA KWAYA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Kama kuna jambo unadhani huliwezi, nakuhakikishia unaliweza...
Habari za muda huu wana JF,
Hii wiki nimetua mjini Dar Salaam kulikua na plot niliacha muda mrefu inashugulikiwa hati. Na kuna mtu kutoka halmashauri nilikuwa nawasiliana nae akaniambia hati...
Wakuu samahani, naomba msaada kama naweza kupata mkopo wa 3M mahali nikawa nalipa kwa awamu, Mimi ni mtumishi wa umma bado sijathibitishwa kazini nina miezi 7 kazini
JE UMESHAWAHI KUSIKIA KUHUSU KIUMBE WANAMWITA PENIS SNAKE?
UKWELI ni kwamba
Mimi mwenyewe nilishtuka baada ya kusikia hilo JIna nikafikiri
Ni nyoka kweli.
Lakini uhalisia wa jina kamili ni...
Hivi umepata kujiuliza unapopita katika mitaa mbalimbali ya mjini Dar au mji mwingine wowote Tanzania, jina la mtaa au eneo husika limetokana na nini?
Kwa mfano, Kijito Nyama limetokana na nini...
Uchaguzi Mkuu wa 2025 unakaribia. Rais Samia Suluhu Hassan anaonekana kuwa na nafasi kubwa ya kushinda na moja ya silaha zake kuu ni aina ya wagombea ubunge waliopitishwa na Chama Cha Mapinduzi...
Kama tulivyosikia wiki jana kwamba ITV waliitwa na Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) kujieleza kwa nini wasichukuliwe hatua kwa kurusha kipindi maalum 23 April 09 na kurudiwa...
Na Mwl. Udadis, Mazimbu
Value Retention Fee (VRF) kwa lugha ya Kiswahili ni tozo ya kutunza thamani ya fedha (mkopo). Kwa wanufaika wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, kila mmoja alikuwa akilipa...
Ni bahati mbaya sana Rostam Aziz hana ubavu wa kumshinda Mzee Reginald Mengi katika uwezo wa kuwateka wananchi kiakili! Uwezo huo anao Reginald Mengi ambapo umwangiliapo tu wakati anapoongea, sura...
2009-05-04 17:12:52
Na Waandishi Wetu
Makombora dhidi ya mafisadi papa yaliyofyatuliwa na Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi, yamemtikisa Mbunge.
wa Igunga wa Chama cha...
ZIELEWE KAZI YA USALAMA WA TAIFA (TISS) NA MIPAKA YAKE
Leo tuongelee TISS au USHUSHU au UNYOKA au IDARA au KITENGO. Kwasababu uelewa mdogo kwa idara hii na kazi zake miongoni mwa wananchi...