Kwema Wakuu!
Jadili Chozi la CDF Mstaafu Mabeyo litolee ufafanuzi kana kwamba unajua alichokuwa anafikiri. Fafanua na elezea tabasamu na kila cheki lake na maana iliyojificha. Kwa kina onyesha...
kumekua na maoni mseto juu ya wizi wa baiskel yangu, iliibiwa juzi usiku, jirani wanasema nitoe taarifa polisi ni kachukue RB, lakini wengine wanasema iwapo nitamsweka ndani wenzie wataniundia...
Unajua hapa tukisema ila naanza kuwaeleza ile harusi ya jamaa ambaye leo mnasikia wasanii wamekuwa bega kwa bega na wahuni ili kuonesha wote mnamafanikio.
Niliambiwa na wivu mpaka kufutwa uzi.
Watajwa hapo juu nikero eneo la Kigamboni hasa mida ya asubuhi na jioni, wanapaki Malori yao barabarani na kua kero kwa watumiaji wengine wa barabara. Licha ya mkuu wa mkoa kulizungumzia mwezi...
Salam wakuu,
Kama mada inavyojieleza hapo juu, like a week ago kuna jamaa yangu mmoja familia yake nzima ilikumbwa na ugonjwa wa kuharisha. Nikamwambia inawezekana pengine ni food poisoning...
UPDATES: Mtoto alipatikana jana Julai 26 akiwa anasafirishwa kwenda Tanga.
Mtoto huyu ametekwa nyara leo asubuhi maeneo ya Goba kwa Awadh. Anaitwa Patrick Pascal Luzwilo, mwanafunzi wa shule...
Wazazi wa Kijana aitwae Adam Raine (16) huko California Nchini Marekani, wameifungulia mashtaka Kampuni ya OpenAI na Mkurugenzi wake Sam Altman wakidai kuwa Akili Mnemba ya ChatGPT (AI) imehusika...
Katika kuelekea Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 53 wa Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya Tanzania, Jumuiya hiyo imesisitiza umuhimu wa kuzingatia Haki za Binadamu kama nyenzo ya kustawisha amani nchini...
Picha ilipigwa 2011 ambapo watu kutoka sehemu mbalimbali walifika kijiji cha Samunge, Loliondo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha kupata kikombe cha dawa kutoka kwa Ambilikile Mwasapile maarufu...
Mkoa wa Ruvuma umepokea taarifa hii kwamasikitiko sana,
Tumepoteza Moja ya Jembe kubwa sana ndani Ya mkoa
Apumzike kwa Amani.
https://youtu.be/g7nAxHOCc2s?si=bymxm0bROefqmWrZ
SIJAJUA WA KENYA WANAWASHWA NINI NA WATANZANIA
Hivi kwanini wa Kenya wanapenda sana mashindano na wa Tanzania kila kitu wanataka kujilinganisha na sisi , hivi wa Kenya hawana majirani wengine...
Ona sasa Tayari Mwabukusi kwa kauli yake juu ya kauli ya SLOWSLOW bin MIFUMO.....KASHAKUWA ADUI wa Wazee wa (NO "LEFORM" NO "ERECTION") ππππ maana hawa jamaa bhana akili zaoπ
Wakuu habari zenu.
Tafadhali naomba kujua shule ambayo ni nzuri naweza kumpeleka kijana wangu anayemaliza std 7 mwaka huu kwa ajili ya kujiunga kidato cha kwanza.
Shule natamani kujua zile zenye...
KWAYA ZA KISABATO TANZANIA ZIMEPOTEA KWENYE RAMANI YA UIMBAJI KUTOKANA NA KUIGA UIMBAJI WA KWAYA YA AMBASSADOR YA RWANDA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Wakati Ambassador ya Rwanda waki-trend...
Nimekuwa nikifuatlia mwenendo wa matukio mbalimbali hapa Tanzania Kuhusu rasilimali zetu mda mrefu toka enzi za mkapa kashifa za Rada na EPA.
Tukija kwa Kikwete mambo ndo yalikuwa ya hovyo...
Huyu dogo M/kiti wa UVCCM wa kipindi hiki hata hana reasoning capacity ya kutosha na hii tunapima kwa namna ya anavyoshare view yake kwenye social media.
Honest hata hii UV CCM imepwayaa na...
Habari wajumbe.
Nimepitia nyuzi nyingi sana humu asubuhi hii. Nimegundua mambo machache ambayo yamenifikirisha kidogo, nimejaribu kujiuliza nimekosa jibu. Haya ni baadhi ya mambo nimegundua.
1...