Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Clouds Media wameharibu siku yangu mapema sana leo majira ya saa 0600Hrs nikiwa nimelala nawaza nikapige mishe wapi za kuniingizia chochote maana kwa leo nimeamka sina ramani yoyote, sasa nikiwa...
9 Reactions
24 Replies
1K Views
Kwanini Wakristo hawavai kanzu nyeupe saa ya kusali kama Yesu alivyofanya? Yesu aliishi katika jamii ya Wayahudi iliyokuwa na mila na desturi za mavazi. Katika mazingira hayo, kuvaa mavazi meupe...
7 Reactions
69 Replies
2K Views
Mawakili wa serikali na wale wa upande wa utetezi wakijiandaa kwa ajili ya kusikiliza kesi ya rufaa ya Nyundo na wenzake ambao wanapinga adhabu ya kifungo cha maisha gerezani walichohukumiwa...
1 Reactions
10 Replies
778 Views
"Kwa hiyo wakaondoa lile jiwe. Naye Yesu akaelekeza macho yake juu na kusema, “Baba, nakushukuru kwa kuwa umenisikia. Nalijua ya kuwa wewe hunisikia siku zote; lakini kwa ajili ya huu umati...
0 Reactions
68 Replies
2K Views
Wakuu, Hii kesi naona mauzauza, inaenda kama haiendi inakuja kama haiji. Yaani wanafanya kusudi kabisa ili iishie juu kwa juu. Ngoja tuone nini kitajiri hiyo kesho wakati CHADEMA wakiuamua mbivu...
1 Reactions
3 Replies
450 Views
Salaam, Shalom! Wakati umma wa watz ukilaumu watu waliokuwa wakiangalia tukio lile la ndugu bonge akijaribu kutekwa na wasiojulikana,wenye pingu na silaha za moto. Kwa jicho la Umakini, yupo...
48 Reactions
217 Replies
12K Views
Kwa mujibu wa familia, Ulomi aliondoka nyumbani tar.11 December 2024 akidai kupigiwa simu na watu wa TRA kwenda kufuatilia kontena lake bandarini. Kwa mujibu wa Muliro siku hiyohiyo tar.11 Ulomi...
3 Reactions
8 Replies
916 Views
Salaam Wakuu, Sakata la Ulomi linazidi kuleta taswira mpya kila siku, leo Kituo cha Afya Makuburi wanasema Ulomi aliletwa kituoni kwao na Askari, tushie lipi? Someni wenyewe hapa chini sakata...
9 Reactions
53 Replies
4K Views
Hili nina uhakika nalo kuwa Daisle Ulomi alikuwa askari wa Jeshi la Polisi Tanzania ila sina uhakika kama aliachana na hiyo kazi(Hapa ndipo swali lilipo kuhusu kifo chake, Ulomi kauawa) maana ni...
21 Reactions
141 Replies
12K Views
Daisle Simon Ulomi Kwa Sasa ni marehemu baada ya maiti yake kukutwa Jana hospitali ya rufaa Mwananyamala. Taarifa za Jeshi la Polisi na Msemaji wa hospitali hiyo zinadai alipelekwa hapo jioni ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limeanza kufuatilia taarifa ya kupotea kwa Daisle Simon Ulomi, mfanyabiashara ambaye hakurudi nyumbani kwake toka alipoingia kazini kwake siku ya tarehe...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Ndugu zangu, msidanganyike! Dhambi si mchezo, na kila dhambi inaleta madhara makubwa kwa mtu binafsi, kwa jamii, na kwa taifa. Wacha tuchambue kwa mwanga wa Neno la Mungu. 1. Wachawi Biblia...
1 Reactions
11 Replies
967 Views
Ben Saanane alikuwa mmoja wa wanaharakati wa kisiasa wenye sauti kali ndani ya CHADEMA, hususan akifahamika kwa msimamo wake wa kukosoa serikali ya wakati huo. Kabla ya kupotea, Ben alikuwa...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimefanya mabadiliko haya Kama Petition inavyojieleza hapo chini kutokana na kutafuta mabadiliko ya msingi ya jina ambalo Mungu analitaka kufikia hatua za Modernist System. Wengi hawatanielewa...
19 Reactions
79 Replies
6K Views
Viongozi watupie jicho eneo hili la Kariakoo kuna wimbi kubwa la kundi la watu limekuwa likikamata Bodaboda wakishirikiana na baadhi ya Wanausalama na kuchua rushwa kuanzia elfu 10 mpaka 20...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Habarini za humu ndani wadau, niko hapa kuomba experiences na ideas mbalimbali tokea kwenu za namna na jinsi ya kwenda Ireland kwaajili ya kujilipua au kwa maana nyingine kutafuta maisha, nchi...
13 Reactions
77 Replies
9K Views
Suggestions for Media Performance Optimization on JamiiForums Salamu Habari Wakuu, Nilikuwa nimeona vitu kadhaa ambavyo ningependa vifanyiwe maboresho ya haraka hapa JamiiForums ili kuboresha...
3 Reactions
8 Replies
408 Views
Kwa upande wangu nimekabwa sana na haya majinamizi nikiwa shule x Mufindi ndanindani asee mwili mzima unakufa ganzi nguvu zinakuiisha sitasahau hio shule niliamua nibadili hostel na kusali sana...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Siku hizi naona kama pikipiki za CCM zile za samia watu waliopewa wanaanza kuogopa kutembelea hata wakipeleka kwa mafundi na mafundi nao hawa zitaki,Mtaani zikipaki zinatengwa na wanazengo. Sasa...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Kitabu (softcopy / nakala laini) cha kiswahili cha Henoko (biblia hakipo) na Mtu tajiri zaidi babeli kinauzwa 10,000 Tsh. nicheki +255 0756704145 , kitabu natuma whatsapp au kwa email.
1 Reactions
21 Replies
920 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…