Taharuki imezuka maeneo ya Jangwani, Dar es Salaam baada ya mwili wa Mtu kupatikana ukiwa umefungwa kwenye kiroba ukiwa unaelea katika mtaro.
===============
Mwili wa mtu mmoja umeonekana asubuhi...
Nashville, Marekani, 28 Agosti 2025
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa 39 wa...
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imempongeza Mwalimu Jao Kalesi wa Shule ya Msingi Kazita, wilayani Muheza mkoani Tanga, kwa ubunifu wa kutumia muziki kufundishia wanafunzi darasani...
Menejimenti ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imepatiwa mafunzo ya utekelezaji bora wa bajeti ya maendeleo ya Taasisi hiyo ya mwaka wa fedha 2025/26 ili kuendelea kuboresha...
Nawakilisha kwa Uchungu Mkubwa sana ukiwa ndani ya moyo wangu kutokana na Dhulma tunayofanyiwa na Katibu wa CCM Mufindi bwana Clement Bakuli.
Soko la Sabasaba lilizuka baada ya sisi wahanga...
Mara nyingi usiku nikilala huwa sipati kabisa ndoto au nikiota asubuhi nakua nimesahau nilichoota.
Ila jana usiku nimeota ndoto ambayo imenitisha na naikumbuka kwa sehemu kubwa, siku nzima...
Kumekuwa na mwelekeo usio na afya katika mfumo wetu wa elimu, hususan baada ya mitihani ya darasa la saba. Punde tu mitihani inapomalizika, matangazo ya tuition za Pre Form 1 huibuka kwa kasi...
Leo ile naingia JamiiFourms nakuta akaunti yangu haipo.Hivyo nilitakiwa ni login tena.
Aisee nilipuuza muda mrefu kuhifadhi kumbukumbu ya details za ku login. Hivyo Leo sikujua nifanye nini...
Zaidi ya wananchi 30 wa Mtaa wa Majengo, Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida, waliotoa maeneo yao ya mashamba kwa ajili ya kupisha ujenzi wa Trena ya kisasa SGR, wamelalamikia...
Kabla hujapata hiyo ajira au hiyo biashara ndogo uliyojiajiri kumbuka maisha ya wanafamilia wako yalikuwa yanaendelea. Kama ndo umeanza kutengeneza kipato chako kidogo hakikisha unawekeza zaidi...
Kamanda wa Polisi Mkoa, Augustino Senga amesema Watu 5 wamefariki Dunia na wengine wanne kujeruhiwa baada ya basi dogo la abiria aina ya Hiace yenye Namba za usajili T476 DHL lililokuwa likitokea...
Wakuu hii kitaalamu imekaaje?
Mchungaji mmoja alimchumbia mjane kwenye mazishi ya mume wake, naye akakubali. Tukio hili lililotokea katika mazishi nchini Afrika Kusini, limezua mijadala na...
Imekuwa ni kawaida sana hapa Tanania kuaibisha au kutania watu kwa nia ya dhati ya kuwaaibisha kwa maumbile yao ya miili
Mtu awe na pua kubwa ataitwa mapua, atataniwa pua yake kama nguruwe,
Mtu...
1. Great thinkers wana free mind
2. GT hawaogopi new idea
3. GT have mental and emotional bulletproof because they don’t take things personally
4. GT are contextual based analyst
5. GT seeks to...
mambo vipi?
Jumamosi majuzi nikiwa mkoa fulani kwa shughuli za michezo nikajikuta nimedondosha simu yangu kwenye kuifuatilia ikashindikana kuonekana ila kwa kuwa nilikuwa nimeinstall app ya...
Uhuu ni utafiti wa sifi Leo msomaji una haki ya kuupinga ila upinge Kwa hoja.
Wasomi wengi waliopo serikalini waliingia serikali paspo kuwa na sifa kama walizo nazo Leo
Wengi wao...
NB; Picha hizo mbili ni za wazazi wangu, Baba na Mama za nyuma kidogo.
Mimi Deo Kisandu, Nimekumbana na Maswali mengi juu ya kabila langu wengine wanasema Mimi Msambaa kwa kuwa niligombea ubunge...