Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

KATIBU MKUU BAKWATA ATEUA KAMATI KUANDAA MAADHIMISHO YA MIAKA KUMI YA YA UONGOZI MAKINI NA IMARA WA MHES MUFTI........... Mh. Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) Alhaj...
2 Reactions
3 Replies
400 Views
Naam madereva tuliishi kama ndugu, tulikuwa na umoja na Upendo wa kweli tuliishi kifamilia zaidi...Mkurugenzi/ mmiliki kila weekend kama tumerudi (Kwa sababu kampuni yetu tulikuwa tunapakia pamoja...
33 Reactions
73 Replies
4K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, Bi. Mwajuma Nasombe @mwajumaa_abasy ametangaza Kurudi kazini kwa Mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Stendi ya Kimataifa Moshi, huku...
1 Reactions
4 Replies
474 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania leo inatarajiwa kuanza kusikiliza kesi ya kupinga kuenguliwa kwa mgombea urais wa ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, hatua ambayo inaweza kubadili mwelekeo wa uchaguzi mkuu wa...
1 Reactions
12 Replies
884 Views
Hello! Ofisi yoyote iwe ya serikali au binafsi kama tu iko hapa Tanzania wewe tazama parking. Halafu uliza idadi ya wafanyakazi wote. Ofisi ina wafanyakazi 50 parking kuna gari binafsi 3 tu ya...
34 Reactions
71 Replies
5K Views
Wakuu Ajali mbaya imetokea asubuhi ya leo katika eneo la Mombasa, Ukonga, ambapo lori la mkaa kama unavyoona kwenye picha limegonga gari dogo aina ya IST kwa nyuma. Dereva wa gari aina ya IST...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Nimeamka leo na taarifa ya msiba wa ndugu wa karibu aliyefariki jana usiku kutokana na ajali. Kama umeshawahi kuondokewa na mpendwa wako, mzazi, rafiki wa karibu unajua maumivu makali ya...
10 Reactions
48 Replies
2K Views
Hawa wahindi ndio waliokuwa pamoja na wahuni CCM. Miaka ya ujana nilijaribu kuimba mbele ya mpenzi wangu nikajua S2kizzy kabla ajazaliwa angetunga beat na mimi ningeingiza sauti ya mbosso. Sasa...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Mambo ya kwenda burundi tukikuuliza kodi,tukifa unasema kifo ni kifo mpaka wale wanaotuambia sijui oktoba watatiki sawa si mnajua. Kwa sasa NIDA yangu kama utalazimisha kuwa nilikuchagua thamani...
1 Reactions
1 Replies
242 Views
Ni takribani wiki mbili sasa nimekuwa na harakati katika eneo maarufu la Kwa Zena lililopo Mbezi Beach-Dar es salaam. Kuna jambo ambalo siwezi kulikalia kimya, licha ya kwamba mimi si mkazi wa...
0 Reactions
2 Replies
499 Views
Wizara ya Afya maazimio yenu ya mwanzo 1-Kupimisha DNA 2-Kumsimamisha kazi Nurse alochanganga Vitenge. Haya yote yalilenga Suala la Mama kubadilishiwa mtoto. Sasa moto ndio aliyekufa !! Sasa...
10 Reactions
27 Replies
2K Views
Nimeangalia clip nusu nitukane ------------ Hii ni kinyume na kanuni na taratibu za uchaguzi, na kama sheria zimebadilka basi Tume huru ya uchaguzi NEC itoe ufafanuzi. La sivyo tutarajie kuona...
1 Reactions
9 Replies
394 Views
Asilimia 70 ya watanzania wanatamani kufika Mbinguni. Niongeze sautiii
1 Reactions
1 Replies
292 Views
WAAFRIKA kiujumla kinachotudumaza ni UTUMWA ambao bado umebaki kwenye fikra zetu kuanzia nyanja za kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Na kama taifa la Tanganyika tunahitaji ukombozi wa...
0 Reactions
0 Replies
199 Views
Tangu nianze job, kuanzia benki, vikundi, dukani, na kwa wana. Baada ya hapo nikahamia microfinance, huko kwa kuwa hakuna kipengele cha kuzingatia kuwa ibaki 1/3 ya mshahara, ndo najilipua muda...
14 Reactions
41 Replies
1K Views
Hakuna siku kama ya Leo muda unaenda taratibu kama konokono. Yani kesho tu inachukua karne kufika. Mwamba britanicca katuahidi atasimamisha taifa kwa kutuletea habari Kali na nyeti. Yani...
8 Reactions
24 Replies
857 Views
Nimekumbuka tu kibiti na Tanga alafu nikapata kuwaza mfano Nairob baada ya kujifunza kuwa na vitengo mbali mbali ambavyo kama kutakuwa na tukio mfano ugaidi,mabomu hatari,cyber attack,upelelezi wa...
1 Reactions
5 Replies
654 Views
Inasikitisha sana Nimepita Kawe hapa, aiseee wanachi wanapigwa na jua mpka huruma, na bado wana hongwa baiskeli na nyama za ng'ombe. Ila wanasiasa wanabagaza, na kubananga kodi za wananchi kwa...
10 Reactions
21 Replies
911 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…