Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo Omar Said Shaaban akifafanua ni kwa namna gani chama hicho kinapinga vikali maamuzi ya Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) kumuengua mgombea wao wa nafasi ya Rais wa...
Familia ya marehemu Captain Komba , watoto wake wamekuwa wakilia lia na kuhitaji kuhurumiwa.
Niwaambie Baba yenu alifanya Kazi yake vizuri na akawa mpaka Mbunge.
Kama kweli alikuwa MTU mzuri...
Muhitimu wa kidato cha sita aliyeshindwa kujiunga na chuo cha ualimu kwa kukosa ada, Bernard Mwakajila ametengeneza ‘A’ 1OO za somo la hisabati katika shule ya Sekondari Kimara iliyopo Wilayni...
Kwenye Biblia tunamuona Akida ambaye kwa Tanzania ni sawa a mbunge au diwani
Tunamuona Zakayo mtoza ushuru
Tunamuona Mfalme Daudi
Tunamuona Jaji Pontio Pilato
Tunawaona askari, waandishi...
👁️KUAMSHA
🔑SPIRITCODEX
Kina cha kuamka kwako kiroho kimeunganishwa sana na kiasi cha vivuli ambavyo umekumbana nacho na maumivu ambayo umevumilia.
Nafsi nyingi zilizobadilika ambazo huangaza...
Shule nyingi za Msingi na hata Sekondari zimejitengenezea utaratibu wa kuwafanyisha mitihani wanafunzi hasa walio katika mwaka wa mitihani ya Taifa kama Darasa la Nne, Saba, kidato cha pili na...
Hii sasa imevuka mipaka. Migogoro na ugomvi ni wa kutosha baada ya kudhulumiana pesa. Michezo ni mingi mno. Kuna hadi michezo ya vyombo. Michezo karibu yote haifuati sheria wala utaratibu...
Serikali ya Singapore na Tanzania zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kimaendeleo na kiuchumi kupitia sekta mbalimbali ikiwemo uendeshaji wa bandari, utalii, sekta ya fedha, usafirishaji...
Hili ni angalizo kuelekea wikendi.
Mabinti, msiwaamini sana wanaume! Kama mna hela, hakikisheni mnakabeba. Sio kila mwanaume anayeenda chooni anaenda kujisaidia, wengine huenda kuangalia salio...
Mahakama ya Wilaya Temeke Mkoa wa Dar es Salaam, Mei 29, 2025 imetoa hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela kwa mtuhumiwa Dotto Adinani Makando mwenye umri wa Miaka 34, Mkazi wa Yombo Kilakala baada...
Mkurugezi wa Huduma za Tiba Hospital ya Taifa Muhimbili(MNH) Dr. John C. Rwegasha ameteuliwa kushika wadhifa wa Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Tiba, Kamisheni ya Umoja wa Afrika -AU yenye makao...
Mungu aliahidi jambo hili katika kitabu cha Mwanzo 12:3 alipomwambia Ibrahimu ya kuwa:”….Nitawabariki wakubarikio….Na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa”. Unaweza kuungana nasi katika...
leo hebu tujadili hizi dhambi saba ambazo ndio kama mizizi saba ya dhambi zote za ulimwengu huu...kwamba kupitia hizi ndio zao la madhambi yote unayojua na kuyafahamu hapa duniani
Kwa mshangao wa...
Nikiwa bar au hata kwenye vijiwe vya wacheza bao wazee hupenda kunishtakia matatizo yao, na muda mwingine watu wa usalama kama askari polisi huwa wanahisi mimi ni mwenzao sasa sijui huwa nina sura...
Utamkuta kijana ana hali ya kawaida sana kiuchumi lakini anamiliki:
Google Pixel 8 – milioni 1
Samsung S22 – milioni 1.2
Google Pixel 10 – milioni 2.3
Samsung S25 – milioni 2.7
iPhone 16 – milioni 3
Kwa wanaoamini hakuna mungu, ukiwachunguza kwa makini hawa watu ndiyo ujifanya wao ni majiniazi, kumbe ni wapumbavu wa mwisho katika hii dunia, na hoja yao kubwa ni kwamba kila kitu ni nature hoja...
Kumekuwa na tatizo la watu wa DAWASCO kuchimba mitaro na kuiacha kwa kipindi kirefu. Mtaani kwangu njia panda ya Segerea tuna wiki mbili wamechimba na hakuna kingine kimefanyiaka, hii ni kero...