KERO DAWASCO wanachimba mitaro na kuiacha muda mrefu bila shughuli inayoendelea

KERO DAWASCO wanachimba mitaro na kuiacha muda mrefu bila shughuli inayoendelea

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

bajosons

New Member
Joined
Aug 4, 2025
Posts
4
Reaction score
2
Kumekuwa na tatizo la watu wa DAWASCO kuchimba mitaro na kuiacha kwa kipindi kirefu. Mtaani kwangu njia panda ya Segerea tuna wiki mbili wamechimba na hakuna kingine kimefanyiaka, hii ni kero sababu tunashindwa kutoa magari na kuingiza ndani.
 
Weka hata picha tuone huo usumbufu. Ila inaudhi watu wanachimba mtari na kublock njia za kuingia mtaani au hata getini kwako then wanasepa.
 
Njiapanda ya Segerea upande gani DAWASA wamechimba? Pia itapendeza sana ukiweka picha mkuu.
 
Back
Top Bottom