Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimeona wachaga wanalalamika kupewa basikeli mbovu Jana nikaenda kwa mjumbe rafiki yangu ananionyesha box la baiskeli nkamwonyesha hii picha walizogaiwa moshi nkamshauri wauzie wanyasa kabla...
4 Reactions
14 Replies
789 Views
Kila kona nitakatopita naona hawa watu waokota machupa ya maji hii idadi imeongezeka ghafla hasa kipindi hiki cha uchaguzi . Wazee wa kimbelembele walopokaji huenda wakawa watu wa system aka...
8 Reactions
29 Replies
1K Views
Wachache watanielewa Let's all keep in mind that life is spiritual ✍️For us to win in real life we must win in spiritual life ✍️Ili mtu akumalize... lazima akumalize kiroho kwanza then matokeo...
16 Reactions
138 Replies
4K Views
Tumeahidiwa umbea saa tatu usiku. Licha ni saa moja imebakia ifike yani naona bado mbali halafu nina usingizi mzito kutokana na pilkapilka za mchana. Nimeamua kulala ili ifike haraka nimeweka...
4 Reactions
22 Replies
757 Views
Muogope sana mtu anayetafuta kupendwa na kila mtu , mtu aina hiyo lazma atavaa vazi la unafiki ili aweze kuwaingia watu Unakuta mtu ofisini /mtaani anazungumza na kila mtu , hata maadui...
15 Reactions
50 Replies
2K Views
Hapo mwanzo ilikuwa rahisi kutawala mamilioni ya watu kuliko kuwauwa. ila zitafika Zama hawata tawalika na itakuaa rahisi kuwauwa kuliko kuwatawala. Idadi inazidi uwezo na fikra zao katika...
1 Reactions
2 Replies
433 Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu naomba tuwe na somo.linalohusisha nini maana ya kustaafuu
3 Reactions
3 Replies
438 Views
Sindano inachoma lakini ndo tunajifunza na ukiona mtu analalamika maisha magumu we mpige Kofi tu na oktoba tunatiki🤣🤣🤣
2 Reactions
3 Replies
319 Views
Fikiria, kama kweli hali ilivyo kwa sasa ukaambiwa Tanzania tuna vyombo vya usalama, utakubali? Vyombo vya usalama wanashindwa kumlinda Rais aliyepo madarakani, na watu wanampa kichwa kiwepesi...
7 Reactions
32 Replies
1K Views
🏡✨ In the Italian province of Bolzano stands a house with a story as extraordinary as any legend. Over 150 years ago, it was built on flat, steady ground. But in 1882, disaster struck — a fierce...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Kuna siku unashangaa tuna lalamika mitandao ya pesa na sms inakuja ikidai ulichokisema basi hapa tulipofika hiii yote ni hawa wahuni. Mtalalamika benki,mitandao ya simu na wale ponzi ila hawa...
3 Reactions
14 Replies
547 Views
Mnatupeleka wapi Muache kututumia msg za ajabu enyi yas Kwanza mnaatuma msg weka hela kuanzia bk 2000 tar flan tunaweka bk 5 Hakuna cha zawadi wala mawadiiii Sasa mnantumia niimepata gb 8...
3 Reactions
14 Replies
570 Views
Mara nyingi nikiwa mgahawani, bar, hotelini au kwenye events, huwa nakutana na changamoto ya kushindwa kuendelea kunywa kinywaji nilichokiacha baada ya kutoka – iwe ni kwenda msalani, kupokea...
3 Reactions
23 Replies
799 Views
Kwakuwa Tume ya Uchaguzi ya watu wa Malawi ni Huru , basi hakuna sababu ya kuzuia mawakala kupata nakala ya matokeo waliyoshuhudia. Kunyima nakala ni uhuni, uwazi unahitaji kila chama...
1 Reactions
2 Replies
470 Views
GT Kama leo una ratiba ya kupita njia hii jipange kuanzia kibaha mpaka Ruvu kwenda chalinze gari hazitembei kabisa. Alternative route zunguka bagamoyo kama upo na haraka vinginevyo panga...
6 Reactions
17 Replies
635 Views
WaTanzania tuna asili ya undugu na ukarimu kwa hapa nyumbani........ lakini kwa Marekani ni tofauti kabisa...wabongo huogopana sana. Maisha na michongo hupatikana kwa waKenya yaani Mtanzania na...
22 Reactions
88 Replies
5K Views
Tanzanian Tycoon Rostam Aziz Sells Last Tranche Of Vodacom Shares For $220 Million Tajiri Kongwe nchini Tanzania Rostam Aziz, Hatimaye amemalizia Ngwe ya Mwisho ya Mauzo fungu la mwisho la Hisa...
11 Reactions
117 Replies
22K Views
Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula amekabidhiwa rasmi Ofisi ya Mjumbe Maalum wa Masuala ya Wanawake Amani na Usalama Barani Afrika, nafasi...
2 Reactions
9 Replies
741 Views
Makabila 12 ya Wana Israel 1. Ruben – mzaliwa wa kwanza wa Lea. 2. Simeon – mwana wa Lea. 3.Lawi/Levi – mwana wa Lea → kutoka hapa ndio anatoka Nabii Musa na Harun. 4. Yuda (Judah) – mwana wa...
1 Reactions
2 Replies
422 Views
Back
Top Bottom