WAZIRI MKUU: RAIS SAMIA AMEIHESHIMISHA TANZANIA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
📌Aipongeza REA Kwa Kusimamia vyema utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi na Usambazaji...
Kwa kweli hili jambo limewaumiza sana wafadhiri na mwandishi mwenyewe. Kimekuwa kama kitabu cha mchanganyiko wa stories za mtaani kuhusiana na Jambazi mmoja maarufu au mtu mmoja mashuhuri.
Ni...
Kwa miaka ya hivi karibuni kipindi cha Amplifaya kinachorushwa na Clouds Fm kuanzia jumatatu hadi ijumaa saa kumi hadi kumi na mbili jioni, kikiendeshwa na Millard Ayo na Frida Amani; kimekuwa...
Je, wahusika wa usalama barabarani wamejiwekea malengo gani kwenye kupunguza ajali za barabarani? Kwasababu, wanachi hatupewi takwimu zinazonesha kupungua kwa ajali za barabarani, hatua...
Kwa nchi hii fukara yenye watu wenye mindset mgando, rasili za mchongo, pesa iliopo kwenye mifuko ya wachache ila kutotoboa na tabu zako unadanganya watu ni kutokana na makosa ya mababu zako...
Nimekuwa nikimfuatilia huyu mtu,ni dhahili Polepole anatumika na kundi fulani lakini je kundi hilo ni kwa ajili ya nini na inalenga nini?
Sioni dhamira anayoilenga huyu mtu,bali matamko na codes...
Habari wapendwa, naomba muongozo.
mimi ni mtumishi niliyeajiriwa mwaka 2013 kwa kada ya katibu mahsusi, mwaka 2021 niliandika barua ya kuomba kuhamia katika taasisi ya Chuo kwa kada ya Katibu...
Uchumi wa kenya uko juu japokuwa hawana rasilimali nyingi kama Tanzania
Kenya inajangwa upande wa kasikazini, Tanzania yetu hii uchumi umeganda haueleweki kama unapanda au unashuka rasilimali...
Hivi Watanzania sisi ni mafala kiasi hiki? Hata km mnaogopa kuandamana tarehe 29 etc Mnashindwa kuwaonesha adabu hawa wasanii kwa kuwaunfollow?
Watu km kina Diamond, Zuchu, Shilole, Nandy sijui...
Ndugu wa mtoto mvulana aliyejinyonga Arusha siku chache zilizopita, wanasema labda sababu ilikuwa ni kutazama filamu za kutisha
Wazazi wangetuachia,Men of the Cloth,tutunze watoto,badala ya...
Naomba kuja kwenu waungwana na wananzengo kutokana na kugagasika na tàarifa ya kupokea mikoba. Nimepata mke wa tano sasa lakini naambiwa siwezi kumuoa hadi akabidhiwe mikoba ya uganga.
1. Naomba...
Moto ambao mpaka sasa chanzo chake hakijajulikana umezuka na kuteketeza Mabanda ya Muuza Mihogo maarufu katika fukwe za Coco Jijini Dar es Salaaam aitwaye Asley Mihogo.a
Jeshi la zimamoto na...
Kwenye video jamaa kafunguka vitu vingi Sana muhimu. Mwenye kusikia na asikie na mwenye kujifanya kipofu aendelee kujifanya kipofu hivyo.
Video Yake inapatikana You Tube.
Kwenye video jamaa...
Watumishi wa Halmashauri ya MADABA Mkoa wa RUVUMA katika idara ya elimu sekondari.
Changamoto kubwa tunayoipitia kama Walimu ni kuwa fedha za nauli ya likizo ya malipo kwa Mwaka 2024 Mwezi wa 12...
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime amesema kwamba tayari Jeshi hilo limechua hatua kuhusu magari yaliyokuwa na namba za usajili SSH2530 ambapo amesema kwamba kwa sasa magari hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.