Nelson Sakaguchi, mkurugenzi wa benki moja kubwa zaidi nchini Brazil, alipokea simu iliyobadilisha maisha yake. Upande wa pili wa simu alikuwa Gavana wa Benki Kuu ya Nigeria, na alitaka kukuza...
Hospitali ya Taifa Muhimbili imesema ni kweli Watanzania zaidi ya 30 wamewafata Madaktari wa figo na kutaka kuuza figo zao kwa Wagonjwa wenye matatizo ya figo ili pesa hizo ziwasaidie kupunguza...
Walimu: Injini ya Maendeleo au Mashine Isiyotambua Thamani Yake?
Leo nimeketi na kutafakari kwa kina. Nimejiuliza swali gumu lakini la lazima:
Je, walimu ndiyo kundi la watumishi wajinga, wasio...
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sixtus Mapunda amepongeza chama cha wake wa viongozi Ladies of new millennium group kwa kuandaa dua maalumu ya kuliombea taifa amani na utulivu kuelekea uchaguzi mkuu...
Ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Jiji la Dodoma (ring road) umefikia zaidi ya asilimia 85 ya utekelezaji wake.
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesomewa taarifa hiyo alipotembelea ujenzi...
Muda mrefu sasa tunatumia maji machafu, tulijua labda ni changamoto ya muda mfupi tu. Sasa tunaona imeshakuwa mazoea.
DAWASA Kibaha, ndio kusema mumeamua rasmi kutuuzia wananchi maji machafu...
Leo siwapi kila kitu ila nitaendelea kutoa kila nikipata muda
1. Zinaa ( kula/ kuliwa mzigo) ni chanzo no1 kinachokwamisha harakati zako. Kubali, kataa, pinga au andamana ila huo ndio ukweli...
Wala gaza sio wahanga wa uyahudi.
Wala gaza sio wahanga wa u-magharibi.
Bali gaza ni wahanga wa kufanyika midoli ya jihadi uchwala.
Masikini kwa bahati mbaya hawatakaa hawaelewe kwa maana tangu...
Dar es Salaam. Wakati mabasi yaendayo haraka ‘mwendokasi’ kwa ajili ya Mbagala yakitolewa bandarini Dar es Salaam, tofauti na taarifa ya awali, sasa njia za safari zimeongezwa huku mabasi hayo...
Ninaandika haya nikiwa bado siamini kama ni kweli ni mimi leo hii ninaye pitia magumu haya ambayo yamesababishwa na mtu nilie mchukulia rafiki kama ndugu yangu.
Rafiki huyu kaniponza paka hivi...
Watu wengi wanamsikia Shetani, na wanaamini yupo, lakini hawajui yeye ni nani, alitoka wapi, anafanya nini na malengo yake ni nini. Ifuatayo ni “CV” yake. Imeandikwa kwa Kiingereza. Ukiona lugha...
Haya makundi ni wanasiasa na viongozi wa dini ndio wanaongoza kwa upinzani wa teknolojia yani ndio wapingaji wa teknolojia.
Kuna siku nilikuwa naangalia watu wa dini yani mtu anakwambia vitu ni...
Polepole ambayo ameshika nafasi nyeti kwenye chama na Serikali amethibitisha Kuna kundi Kwa jina la wana mtandao, ambalo hilo lipo juu ya serikali yaani Kwa kifupi serikali inatii kundi la...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo amesema akichaguliwa kuwa Rais, mara baada tu ya kuapishwa siku hiyo hiyo atatangaza huduma...
Nusu saa iliyopita tumempoteza Mr Richard, ndugu wa karibu kabisa.
Wakati namshauri miaka hiyo mjomba kupunguza mambo, yetu yanauWa, ilikuwa ngumu sana kuelewa.
Baada ya miaka kadhaa, ndugu...
Kuna baadhi ya misemo ni mikali sana na ni migumuu kuielewa japo mingine ni rahisi sana kuielewa lakini unajikuta tuu automatically umeipenda! Mrisho mpoto,zembwela na baadhi ya wana hiphop...