Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kauli ya Dr. Emmanuel John Nchimbi kwa Dr. Samia Suluhu Hassan.πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Nawatakia jumapili njema.πŸ™
2 Reactions
14 Replies
842 Views
MAJIKO BANIFU KUPUNGUZA MATUMIZI YA MKAA NA KUNI MBEYA . πŸ“Œ Majiko banifu 9,330 kusambazwa na kuuzwa kwa bei ya ruzuku mkoani Mbeya πŸ“Œ Wilaya Sita kunufaika na mradi πŸ“Œ Kila Wilaya kupata majiko...
0 Reactions
3 Replies
440 Views
Kumbuka ni ijumaa ya wiki hii na mwezi huu... Je, Unabii Utatimia na kitu Gani kitatokea tusubiri... https://www.instagram.com/reel/DN0iage2O2y/?igsh=MWV2YzFhcGg1NTl4dQ==
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Hawa , Angekua ni Mtanzania ndo Kauliwa ,wangeishia kutoa Matamko na kujifanya kama wao sio Watanzania Ila kwakua mwenzio ndio Kauliwa, hamna Maneno mtaacha kusikia kutoka kwao...
2 Reactions
5 Replies
574 Views
MTAA UNATAKA NINI.... Kila kijana ana ndoto za kupata pesa aijalishi atafanya kazi gani ila lengo ni pesa..watoto wameacha shule wakidai wanapoteza tu mda wao kusaka elimu ikiwa lengo la elimu...
1 Reactions
3 Replies
243 Views
PETE ZA BAHATI Natamani kuvaa pete za bahati ila sasa naogopa sielewi inamaana Gani.Nasikia kwa mujibu wa jamaa fulani alisema,wakati akitafuta pete ya bahati aliambiwa apeleke damu ya...
3 Reactions
10 Replies
930 Views
Aina ya mwanamke mwenye hurka ya utupu utupu ndio anakuwa glorified katika mitandao na media, Pedophiles kila angle wanakenulia mabinti zetu wadogo, Access ya vifaa vya mtandao vipo karibu yake...
10 Reactions
52 Replies
2K Views
kwema wakuu, mimi sio mwandishi mzuri, naomba huu uzi uwe kwenye stail ya maswali..ili niandike kile mnachohitaji tu. Niulize na nitajibu bila kuficha kila kitu, lengo ni kupeana moyo. Hapa...
5 Reactions
81 Replies
4K Views
Me Sina hela ila naishi na watu wema na wenyewe kiuchumi hawako vizuri nyie wa huko dar mna magari na majumba najua wengi hamuwezi kushindwa kufungua redio Jina LA redio nakupa mimi iitwe 45 fm...
8 Reactions
57 Replies
2K Views
Eeeh wakuu mpo? Ktk huu uzi nitazungumzia kuhusu majini kiimani na kisayansi kulingana na experience niliyonayo ila pia mtu yeyote anaruhusiwa kuchangia kulingana na kile anachokijua au...
15 Reactions
148 Replies
6K Views
Katika pitapita huku na kule nikaibukia ungonini, huko wanawake ndio wanastendia show katika familia wanaume huko hawana sauti.
2 Reactions
13 Replies
656 Views
Anonymous
Mimi ni mdau sana wa shughuli za Uhamiaji, nafanya kazi kwenye taasisi moja ya kimataifa hivyo tunasafiri sana na pia tuna deal sana na kuomba vibali kwa wageni wetu. Kwa sasa kuna uhaba mkubwa...
2 Reactions
8 Replies
506 Views
Anonymous
Jeshi la Polisi hivi karibuni limeanzisha mkakati wa kuboresha utaratibu wa leseni za Udereva kwa kuwataka madereva ili kukidhi sifa za madaraja waliyonayo wapate kozi kuhuisha sifa zao katika...
0 Reactions
0 Replies
291 Views
Inaonesha kesho (tomorrow kwa lugha ya Mabeberu) muda na post ambayo mtu atatuma na jina linaoneshwa kabisa ingawa hapo kwenye majina mimi nime hide. unaweza isoma leo kabisa in advance. Angalia...
1 Reactions
3 Replies
394 Views
Anonymous
Habari Kuna Chuo nimesoma Kinaitwa Ministry of agriculture training institute ILONGA (MATI-ILONGA) kipo Wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro; kinatoa level ya Certificate na Diploma za KILIMO...
0 Reactions
0 Replies
383 Views
πŸ€·πŸΎβ€β™‚οΈJE UAMSHO WA KIROHO NI NINI? Mwamko wa Kiroho ni pale mtu anapofahamu asili yake halisi na utu wake wa kipekee. Wakati hii itatokea katika maisha yako, utakuwa na hisia mpya ya kuona vitu...
0 Reactions
0 Replies
247 Views
Hii Benki sielewi inakumbana na changamoto zipi. Huduma zao ni mwendo wa Kobe , customer care ni mbovu , huduma ya simbaking naipata kwa kubahatisha., ukiomba mkopo wanakupa kwa kujisikia wao...
0 Reactions
3 Replies
329 Views
Habari wakuu, Je wajua kuwa custom Artificial Intelligence (AI) inaweza kuwa msaada mkubwa kwenye biashara yako ya mtandaoni? unaweza kuitumia leo kuboresha website yako au blog yako. Kwa...
1 Reactions
9 Replies
608 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…