Arusha, 6 Septemba 2025: Kampuni ya Bia ya Serengeti kwa kushirikiana na Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) wamezindua rasmi awamu ya pili ya programu ya Learning for Life katika Tawi la NCT Arusha...
Unapoomba Visa ya Marekani (US Visa Interview) katika Ubalozi au Konseli ya Marekani, mahojiano ni sehemu muhimu. Afisa wa ubalozi atauliza maswali ili kuthibitisha kuwa taarifa ulizoandika kwenye...
Salaam,
Twende kwenye mada.
Je, nikitumia TOR ntatoboa ?
Edit: sijajua ni sim yang au vipi, ila JF haikubar kulog in tayari, mpaka niingie kwakutumia TOR.
NMB/VODA huu wizi mtaacha lini?. Napiga *150*66# ili nipate huduma ya bank mkononi. Naambiwa huduma hii kwa sasa haipatikani, lakini nakuta kiasi cha Tsh 50 mmekata kwenye simu yangu wakati...
Video ya mdau imeonyesha ambulance yenye mgonjwa ikisimamishwa na askari ili kupisha msafara wa kiongozi.
Serikali inayohubiri “kazi na utu” leo imejionyesha wazi haina utu wala huruma kwa...
Kanisa Katoliki lagoma kuendesha Ibada ya misa ya mazishi ya Thadei Ole Mushi kwa sababu ALIPINGA WARAKA WA BARAZA LA MAASKOFU WA KANISA KATOLIKI TANZANIA (TEC) Uliopinga uuzwaji wa Bandari...
Picha hii inajieleza mara milioni 1, kuliko maneno yangu Pichani Mmoja wa mtoto wa James Rugemalira baada ya kupata mgao wa ESCROW Mwaka 2014 alienda marekani kula bata na mwanamuziki rihana...
Kwa siku za hivi karibuni huenda, kupitia mitandao yetu ya kijamii umeona mwonekano wetu mpya kuanzia kwenye logo mpaka grafiki na ukapata maswali mengi kuhusu nini hasa kinaendelea kwenye taasisi...
Ni raha isiyoelezeka kwa urahisi, Roho Mtakatifu anapokujaza. Moyo unakuwa na amani na furaha ambayo dunia haiwezi kukupa. Unahisi uwepo mkubwa wa Mungu ndani yako. Unaanza kunena kwa lugha mpya...
Hii nimetoa Facebook.
DAR ES SALAAM;MIONGONI mwa nyoka wanaoogopwa sana na watu, ingawa hana sumu ni yule aitwaye chatu.
-
Huyu ni mmoja wa nyoka wakubwa zaidi duniani mwenye uwezo mkubwa wa...
Ni kwanini watu wachawi huwa wanajifanya wana upendo sana? Utakuta kama ni kanisani/ Msikitini wao ndio mstari wa mbele kuhudhuria ibada zote, kutoa michango mbalimbali , kukarimu wageni hapa...
Tanzania imeanzisha Mwongozo Mpya wa Haki za Kupokea Satelaiti (Satellite Landing Rights Guidelines) unaobadilisha namna waendeshaji wa satelaiti wa kigeni watakavyofanya biashara nchini. Chini ya...
Hii nchi kuna watu akili hawana hawa chiembe ChoiceVariable Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa usije shangaa baada ya mda wanakuja na nyuzi zao kusifu CCm.
Kama mnabisha subiri mjionee na wao...
SUMATRA mkoani Kilimanjaro haswa wilaya ya Moshi mjini haifanyi kazi ipasavyo. Nyakati za jioni kuelekea usiku abiria haswa wanapenda wilaya ya Hai haswa mji Mdogo wa Bomang'ombe abiria wamekuwa...
Je Kanisa la Sasa ni Moto au ni Vuguvugu kama Kanisa la Laodikia ?
Kanisa la Laodikia ni nini
Kwanza hebu tujikumbushe historia ya yale makanisa saba, tunayoyasoma katika kitabu cha Ufunuo, Aya...
Wachaga na Wakikuyu
Wote wanalima kahawa
Wote wanapenda pesa
Wote ni wakatili
Wote ni wezi
Wengi wao ni Wakristo
Wote ni wakabila
Wote ardhi zao zinafanana
Wanaishi kwenye miinuko ya milima...
Yani Katarama ikotoka kesi hii inakuja kesi nyingine, kama sasa hivi wana soo nyingine huko LATRA.
sasa wahuni mtaani wanasema allys roho inamuuma maana competition ya Katarama ni next level ndio...
Dada wa Taifa amepost abiria wakiwa katika basi la Katarama wakiangalia hotuba ya Balozi mstaafu Polepole.
Uzi huu umekuja na swali la angalizo, je kupitia video ile, kampuni ya Katarama inaweza...