The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,259
- 20,518
Mwamba wa ozone layer ya Earth, Jupiter na Saturn, rais mtarajiwa Dennis Robert Shughuru. Angekuwa mzungu angefanana hivi.
Atakuwa bado anajenga mtandaoAjachukua fomu?
SEma mtu akiwa too gifted anakuwa karibu na kurukwa akiliila jamaa ana baadhi ya mawazo mazuri ana uwezo mkubwa sana IQ ni kubwa japo kuna baadhi ya mambo anafikria ni extraordinally😂kama ile yq kurudisha viumbe kama dinosours duniani
Bange mbaya sana
Ila aachane ya yale mawazo ya kwenda kwenye sayari ya jua.Jamaa ana akili sana
Sisi wana mtandao wake tumeshalimaliza hiloIla aachane ya yale mawazo ya kwenda kwenye sayari ya jua.
Sky is limit .Ila aachane ya yale mawazo ya kwenda kwenye sayari ya jua.
Nakuona Mzee wa N de AMwamba wa ozone layer ya Earth, Jupiter na Saturn, rais mtarajiwa Dennis Robert Shughuru. Angekuwa mzungu angefanana hivi.
View attachment 3467049
View attachment 3467051