Ni kweli vijana wanaogoba kujiunga na jumuia kisa michango?

Ndo mnayofundishwa jumuiya haya?
 
Attachments

  • Screenshot_2025-08-11_121057.jpg
    Screenshot_2025-08-11_121057.jpg
    330.2 KB · Views: 26
Sio tyuh Jumuia hata huko ibadani kanisani, yaan dini imegeuka biashara sasa.

Mtu anamtoa kijana wake ktk Elimu dunia, na kumpeleka Elimu ya dini ili awe paroko wale maisha.

Na kweli, kijana kafanikiwa kupata upadrisho, kapewa parokia yake, miaka 2 kijana ana miliki mali za hatarii. Lol.

Dini inalipa jamanii, Lol
 
Kwa ninachokiona sasa shida ipo kwenye kuwaandaa vijana na mabinti kutoka kuwa wavulana na wasichana,kupitia kuwa vijana na mabinti na kuwabadili kuwa wanaume na wanawake.

VIjana naabinti wanaogopa mambo mengi tu sio jumuiya pekee yake. Wanaogopa kusali, wanaogopa kuwekeza pamoja, wanaogopa kujielimisha, wanaogopa ndoa, wanauogopa mambo mengi ambayo ni ya kawaida katika maisha.

Sasa ukitazama maswala ya jumuiya ni kwamba vijana wanaogopa kwasababu ya hofu ya jumuiya ina washirikisha na kuwakumbusha mambo ya msingi katika maisha yao kama kusali, kutembeleana, kutembelea wagonjwa na watoto yatima pamoja na wazee. Kuwa na mahusiano ya kumpendeza MUNGU na sio kuishi kisela, kufunga ndoa na kupata watoto ndani ya ndoa, kujenga familia bora zenye kumpendeza MUNGU etc.

Kwa kifupi, wanakwepa kuingia utu uzima kwasababu hakuna sehemu ya jamii inayowashepu kuingia katika hatua hiyo ya utu uzima.

Kama jamii ni muda muafaka sasa kuja na program maalumu kwaajiri ya vijana na mabinti zetu ili waweze kuyaelewa na kuyafanya maisha bila hofu.
 
Ishu ni michango mingi,hata watu wazima wasio kuwa na kipato cha uhakika wanakwepa kuhudhuria jumuiya/kanisani
 
Kaone "Hashwaa" utadhani hata kanisani kanaendaga vile.
Z, naomba nikuambie kitu, mie nimekulia kwenye malezi ya dini toka niko mdogo,
Nimepata sakramenti ya ubatizo, komunio, kipaimara, kitubio,

Nilikua shirika la kipapa, nimetumikia kanisani, nimeimba kwayaa, kubwa zaidi ilibidi nisome shule ya dini, lakini nilikataa, kwa kuwa nilishaingia maovuni. Nikaona sio sawa nichanganye vitu.

Unaniona wa wasi wasi sanaa? Acha hizo wewee. Lol.
 
Ikifika jumamosi unawaza michango,mbaya zaidi hakuna utaratibu mzuri wa hiyo michango.
 
Back
Top Bottom