Nina ajira tayari lakini sioni nikifika mbali, 1.6x million take home baada ya makato
Kwa nchi kama Marekani wamarekani weusi wengi hawajaelimika, fursa hizi zinawapita, wameharibika na utamaduni...
Na Mwandishi Wetu.
Babati, Septemba 2025: Kampuni ya Mati Super Brands Ltd kupitia taasisi yake ya kijamii, Mati Foundation, imezindua rasmi mradi mkubwa wa ugawaji wa pikipiki za magurudumu...
Katika jeshi nilijifunza jambo moja, kwamba kuna amri halali na isiyo halali. Kwa mfano, huwezi ukaamriwa kumpiga risasi askari mwenzio na kutii kwa sababu tuu umeamriwa na kamanda wako.
Sasa je...
Huwa najiuliza sipati majibu sasa leo naamua kulileta humu huenda mkanielewesha...
Tunasikia mara nyingi kuwa maiti zinachomwa sindano ili zisiharibike hasa zile zinazocheleweshwa kuzikwa au...
Tabu inapokuwa kali katika jamii , watu huwa huwaza mambo ya kufikirika kuwa ndio sababu ya wao kupitia ukata na mateso.
Zamani mvua zisiponyesha walijua wameudhi miungu au mababu sasa leo ambapo...
Hawa ni wanafunzi naowajua vizuri walimaliza form 4 mwaka 2012
Moja alifaulu kwa division 1 ya point 16 (ya enzi hizo), akaenda A Level shule nzuri ya private akafaulu division 2 nzuri, chuo...
Mimi, mwalimu katika Shule ya Sekondari Likongowele, Wilaya ya Liwale, kwa heshima kubwa napenda kuwasilisha malalamiko haya kwa mamlaka husika kuhusu hali ya usalama wangu pamoja na familia...
"Ninandoto siku moja watoto wangu wataishi kwa Uhuru bila kubaguliwa katika nchi yangu'
Hiyo ni nukuu ya mwanaharakati na mtetezi wa haki za watu weusi nchini Marekani - Martin Luther King Jr...
Idadi ya Malori njia ya Mandela road imekua kubwa sana kiasi ambacho yanasababisha foleni kubwa sana.
Hii ni kero kero kwa wakazi wa Kigamboni na Mbagala wanaotumia mandela road. Mbali na foleni...
1: PLAY BOY
2: MTU WA SYSTEM
3: MTU WA AMANI (CHILL BOY/CHILL GIRL)
4: MPENDA BATA
5: DADA WA MJINI
6: KAUKA NIKUVAE
7: NGUMI NJE NJE
8: PESA MAKARATASI
9: MZEE/MAMAA WA CHAI
10: CONFUSED
Naam katika maisha kuna kupanda na kushuka.
Sasa moja na mbili kwa wenye kuutambua mguu wa Yesu pamoja na makandokando yetu huwa tunazingatia ibada.
Kwa imani yangu binafsi kanisa ni kwa ajili...
Siasa na michezo wiki hii imechukua muda wetu mwingi.. Na mijadala yetu imekuwa na matokeo butu kwakuwa wenye mamlaka wanatufuatilia kwa jicho kali la tai
Hivyo basi hebu tujjburudishe kidogo na...
Iko hivi...
Kuna Mzee mmoja naheshimiana nae Sana, imepita kama muda alienda dukani kwangu kuchukua vifaa Kwa ajili ya kufanya finishing ya apartments zake anazojenga, akachukua vifaa vya...
Salam.
Kuna rafiki yangu mmoja ni mfanyakazi wa umma.
Miaka 5 iliyopita alichukua mkopo bank x.
Baada ya serikali kuleta mfumo mpya wa ESS akakuta bank x haipo kwenye orodha ya Mankato kwenye...
Najua kuwa askofu Makarios wa Cyprus na Hastings Kamuzu Banda hawakuwa na wake wala watoto. Putin wa Urusi alikuwa na mke wakaachana.
Mia Motley waziri mkuu wa Barbados hana mume. Pia, rais...
Muungano wa Asasi Za Kiraia unaotetea Haki ya Upatikanaji wa Taarifa (Coalition on Right to Information - CoRI) umelaani vikali uamuzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuisimamisha kwa...
Najua wengi wakati tunajifunza kingereza katika kamusi ya oxford ili neno luddite wengi wajawahi kusikia.
Neno Luddite lina maana Asili ya kihistoria lilitokana na harakati za wafanyakazi nchini...