Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna zawadi moja ya thamani isiyolipiwa kwa pesa ni neno...... "SHUKRANI" Ni neno dogo lakini lenye uzito mkubwa. Moyo wa shukrani huonyesha tabia ya mtu hata kabla hajazungumza. Nimeandika hii...
15 Reactions
55 Replies
2K Views
Umefanikiwa kujijengea Nyumba Yako nakigari kidogo tu, unaamua sasa uanze kujiwekeza zaidi kwenye BIASHARA namambo mengine kipato kikue, Upande wapili ndugu wa upande wako naukweni wanaanza...
34 Reactions
182 Replies
7K Views
Hapo zamani ukienda kwenye makanisa wakristo walivaa kwa kujistili sana, Sketi ndefu, magauni, vilemba, nywele natural, n.k. Sikuhizi imekuwa kawaida kuvaa NUSU UCHI kuanzia Suruali, Taiti...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Nimegundua saloon za kike zinawabadilisha sana tabia wanawake huwa wanafundishana ujinga , ni nafuu mke wako umpe masharti asiwe anaenda saloon za karibu na mtaa wenu. Mafundisho yote ya...
13 Reactions
43 Replies
2K Views
Pacha walioungana, Abby na Brittany Hensel wametumia zaidi ya miaka 30 ya maisha yao wakiishi kwa mshikamano wa kipekee, tofauti kabisa na pacha wengine unaowafahamu. Abby alifunga ndoa na...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwanini ukiwa unamfikiria mtu na yeye muda huo huo anakuwa anakufikiria . Kabla haujampigia anakupigia au vise versa yake , unajua inasabaishwa na nini hali hii !? Usiondoke hapa ! Namaliza...
10 Reactions
23 Replies
1K Views
Helo JF! Ebana binafsi napenda mnoo kufuatilia na kutazama makala mbalimbali ya viumbe hai na maisha yao (Wildlife). Yaani nikikaa kwenye TV target yangu ya kwanza ni kutafuta channel zinazorusha...
15 Reactions
156 Replies
7K Views
Mlinzi wa wanyamapori alikuwa na wakati mgumu sana chui mmoja aliporukia gari lake aina ya Jeep na kuanza kunusa huku na kule. Alijitahidi sana kutomtazama machoni hadi chui huyo aliporidhika na...
5 Reactions
66 Replies
2K Views
Kazi unaitengeneza mwenyewe. Kwani mafundi nyumba,viatu,matingo,wetpauza machungwa,wafyatua mayofari,wauza karanga,nk kawatafutia nani hizo kazi? Mtaji wa masikini ni nguvu zako mwenyewe anza...
2 Reactions
4 Replies
268 Views
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umelaani vikali Suala la Jeshi la Polisi kuwashikilia kwa zaidi ya saa 24 waandishi wawili wa habari Arusha, bila kuwapa dhamana. Waandishi...
0 Reactions
1 Replies
228 Views
Wanafunzi 1,172,279 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi, uliopangwa kufanyika kesho na kesho kutwa nchini, wakiwamo wavulana 535,138 na wasichana 637,141. Akizungumza na...
2 Reactions
17 Replies
688 Views
Habari za huko zimenichanganya kidogo Eti nini, nije likizo alafu niambiwe ku prove nafanya nini ninakoishi? Tanzania jamani ni manini hayo? Watu tutakuwa tunapandia Entebbe au Nairobi ndo...
12 Reactions
22 Replies
3K Views
Mi ntasaidia kutoa conection ya kufika eneo husika ila please keep in mind mi sitoi kazi ila ni michongo tu ya kufika sehem na kutembea, kama ukiamua kuzamia mwenyewe ni wewe, ila dhamira yangu ni...
10 Reactions
83 Replies
19K Views
Familia ya Al-Hajj Nourdin Mushi (25) imeendelea kumtafuta baada ya kuchukuliwa na watu wenye silaha maeneo ya Tegeta Kibo mnamo Septemba 05, 2025. Al-Hajj Mushi anayeishi na kaka yake, Ally...
9 Reactions
59 Replies
2K Views
Kila mwaka Septemba 10, Tanzania inaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Kuzuia Kujitoa Uhai Duniani, huku wataalamu wa afya ya akili wameeleza kuwa tatizo hilo limekuwa tishio...
2 Reactions
13 Replies
612 Views
Kuna jambo limenichefua sana, la kulazimishwa kupenda mtu au kumpa sifa. Huwezi lazimisha watu wakupende au wakusifie, haiwezekani. As Human beings, we have a free will, we observe, we think and...
4 Reactions
18 Replies
777 Views
Anaitwa Nashir Adam ana umri wa miaka 29 mkazi wa Kigamboni Dar es Salaam, familia inamtafuta baada ya kutoonekana wala kupatikana kwenye simu tangu tarehe 28 ya mwezi June. Familia imejitahidi...
3 Reactions
7 Replies
445 Views
Hawa jamaa wamejaa kwenye mitandao na polisi wanawaangalia tu wakifanya utapeli ambapo wanatumia namba za simu tofauti kupokea pesa kisha kubadili mawasiliano kila mara. Wanafanya kazi kwa majina...
0 Reactions
3 Replies
640 Views
Kijana Salim Waziri, ambaye ameonyesha uzalendo wake wa kuchora sura ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwenye bega lake la kushoto.
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa maelezo shida ilionekana huko Instagram.. Kwa mtazamo wa kawaida pengine ndio imefungiwa kulingana na maelezo haya hapa Lakini baadae kwenye huo mwendelezo kuna maelezo haya pia Na...
29 Reactions
41 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…