Dominic Baronet kulia akiwa na mmoja wa wanawake aliowapachika ujauzito na kisha kuwatekeleza
November 10, 2009 1:49 AM
Mwanaume mmoja wa nchini Uingereza amebatizwa jina la 'Speminator' baada...
Nimepita hii barabara jana nikiwa kwenye safari zangu za kwenda Kisarawe wakati mvua ilipokuwa inanyesha, ni aibu jamani, maji yalikuwa yamejaa/yametuama barabarani. Sasa nashindwa kuelewa...
Alipa Kisasi Kwa Kumnyang'anya Bwana Mama Yake
Tuesday, November 10, 2009 3:20 AM
Mama mmoja nchini Uingereza ambaye alimwacha mtoto wake kwenye nyumba ya kulelea yatima miaka 22...
Mh Mbunge anapokalia jimbo kwa zaidi ya miaka 30, halafu hakuna lolote la maana alilolifanya! Je! kuna yeyote anaweza kunisaidia kuelewa kama chama tawala kina utaratibu wa kupima utendaji kazi wa...
ARUSHA MUNICIPAL COUNCIL IN COLLABORATION WITH THE CENTRAL GOVERNMENT AND THE WORLD BANK ARE EMBARKING INTO VARIOUS PROJECTS IN THE MUNICIPALITY. THE PROJECTS INCLUDE ROAD...
</SPAN>
Tuesday, November 10, 2009 10:51 AM
MAGUNIA 64 yaliyokuwa na kilo zaidi ya 100 katika kila gunia ya mmea haramu wa bangi yamekamatwa Wilayani Arumeru bila ya wahusika.
Magunia hayo...
Wale samaki waliokamatwa, wataanza kugawiwa kesho kutwa kwa wale waliotuma maombi tu, Waziri Maghufuri ametamka hayo leo hii muda mfupi uliopita,
Sijui kiafya kama zimekaguliwa na wataalamu,
Watu wanaangusha malori ya Mizigo kwa makusudi walipwe na insurance???
I dont know how this happens but kuna mdau yeyote alishazisika hizi????
Hata kama ni usanii, hapa wabongo tumepitiliza!!!!
Wadau,
Jana nilikuwa naagalia TBC1 na niliguswa sana na kipindi cha Shajala. Kipindi hiki kinaendeshwa na dada mmoja ambaye anaonekana ni mwanaharakati mahiri mweye nia njema ya kusaidi...
Kwa taarifa tulizopata sasa hivi ni kuwa kuna hoteli ya Fair Mount iliyopo Zanzibar inaungua, kwa wenye kuwa maeneo ya Zanzibar tafadhali tupeni zaidi.
Napenda kutoa salamu za pole kwa idara baada ya kumpoteza mkongwe mwingine aliyezikwa huko Tabata. Mzee wetu huyo ni mmoja wa kundi la maajenti wetu waliofanya kazi wakati wa vita baridi. Ndani ya...
Hivi ukiwa daresalaam,ni kitongoji kipi unaweza
sema ni the best place to live...
Vigezo vya kuzingatia ni...
Aina ya watu....
Burudani...
Huduma za kijamii,benki,soko n.k.
Dating..
Na...
</SPAN>
Sunday, November 08, 2009 4:01 AM
Mwanamke nchini Uingereza amefariki kwa kusagwasagwa na treni baada ya kujilaza kwenye reli wakati treni iliyokuwa kwenye spidi ikikatiza zikiwa ni...
Monday, November 9, 2009
The Associated Press
Of all the sinister things that internet viruses do, this might be the worst: They can make you an unsuspecting collector of child pornography...
Mahakama kuu huko Shinyanga imefanya kweli tena kwa kuwahukumu kunyongwa mpaka kufa washitakiwa wane wa mauaji ya mtu mwenye ulemavu wa ngozi (Albino) Lyaku Wily (50) ambaye pia alikuwa na ulemavu...
Aidha wakufunzi 12 Mzumbe waliokuwa na PhD zenye utata wamevuliwa.
orodha yao ni kama inavyoonyeshwa hapo chini. Ukitaka kuhakikisha soma current propospectus ya Mzumbe University utaona...
Hakika bunge letu la tanzania limeshindwa kuonyesha wazi kwamba ni bunge lililotumwa na wananchi kuongelea wananchi kusaidia shida za wananchi lakini leo hii wacha bunge letu kujaza mafisadi...
samahani bandugu mlioko nyumbani maana naona sasa mko kimya ni vipi nuru imerudi hapo nyumbani?i mean umeme vipi mgao umekwisha?nahitaji tu kujua maana niliahirisha kasafari cha kuteremka ili...