Kila la kheri wanandoa watarajiwa siku ya leo

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,050
NDUGU WAPENDWA LEO NI JUMAMOSI KAMA DESTURI YA WATANZANIA WENGI KUAMUA KUOA.KUOAN SIKU YA LEO KWA NIABA YA WANANDOA WOTE NAWATAKIA HERI NA FANAKA NA MAISHA MEMA YENYE UVUMILIVU NA BARAKA TELE ZIKIAMBATANA NA IDADI YA WATOTO WENYE NIDHAMU....
Kila la kheri wote,,kumbukeni uvumilivu ndio chanzo cha furaha katika ndoa mwenzio akikuuzi vumilia baadae muelekezane...usijifanye uko juu mkiwa juu wote moto unaishia mahakamani...tumechoka na kusuluhisha ndoa hivyo basi mkiwa watu wazima wenye nidhamu najua mtatunza ndoa zenu nanyi wababa jaribuni kujali"TUNDA " LENU MSIKUBALI KULA TUNDA TU ILI MRADI TUNDA MENGI AYALIKI.......msinyimane mpeane kama mungu alivyoandika.....
NDOA NJEMA NA JUMAMOSI NJEMA
 
Back
Top Bottom