Yer 1:6 SUV
[6] Ndipo niliposema, Aa, Bwana MUNGU! Tazama, siwezi kusema; maana mimi ni mtoto.
Watu kama Yeremia wapo wengi Leo, wanaotazama hali zao za nje, au mazingira yao, udogo wao, na mambo...
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wametembelea mradi wa ujenzi wa bwawa la Kidunda, mkoani Morogoro huku ikisema wana nafasi ya kushauri na kusaidia mambo mbalimbali yakiwemo ya kimkataba...
Kuna hii tabia ambayo naweza kuita ni Wizi au utapeli wa wazi na mchana kweupe kwenye vituo kadhaa vya Mwendokasi.
Siku hizi zile Kadi za Mwendokasi haziuzwi au zimezuiwa kuuzwa iwe bahati mbaya...
Katika ulimwengu wa leo, magari ya kifahari kama Rolls-Royce, Bugatti, na Lamborghini yamekuwa alama ya hadhi, mafanikio, na utajiri wa hali ya juu. Gari moja tu linaweza kugharimu zaidi ya...
WAUMINI DKMS - KKKT
S.L.P 10
LUSHOTO
03/04/2020
MKUU WA KKKT
S.L.P 3033
ARUSHA
TANZANIA
Salaam katika Jina la Bwana na Mwokozi wetu Kristo!
MALALAMIKO YETU DHIDI YA HUJUMA NA UBADHILIFU WA...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Januari 04,2025 majira ya saa 8:00 mchana lilipokea taarifa toka kwa wananchi ya kuonekana kwa gari aina ya Mercedes Benz lenye namba za usajili T 109DVY...
Familia moja kutoka Uingereza imehama kwenda umbali wa maili 5,000 baada ya kugundua kwamba walikuwa wanaishi “kwa kusurvive tu” wakiwa Uingereza. Natalie Furk, mwenye umri wa miaka 35, na mumewe...
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko amekwepa kujibu swali kuhusu nani aliyehusika katika madai ya utekaji wa Edgar Mwakabela, maarufu Sativa.
Bomboka alikwepa swali hilo akiwa katika...
Inashangaza kabisa eti mtu ni.mwalimu mkuu kabisa lkn hajawahi kufika hata hapo kenya au Malawi hata zambia.
Nimeshangaa mno,ndo maana kumbe watanzania wengi ni waoga.
Watu wengi wanaosafiri nchi za nje huwa wanashauri kutumia e sim unapokuwa a broad inarahisisha mawasiliano , mimi sifahamu lolote namna ya ku install na kuitumia , na je inafaida kweli ?
TLS hata wakizuiwa kuandamana bado wananjia mbadala ya kutohudhulia mashauri mahakamani
Serikali inapaswa kujitathimini kwa hilo ambapo watakaoumia na kukosa haki iliyocheleweshwa ni raia.
Tukatane barabarani tarehe 29 kwa wingi sana ili watuuwe wakatafute raia wengine wa kuwaongoza.
Hatuwezi kufanya amani kwenye utekaji na mauwaji na ufisadi na kutubambikia kesi za uongo.
No...
Viongozi Wa Dini Wanavyofanya Matembezi Ya Amani Sio Kufanya Uchawa Bali Ni Kuliombea Taifa Amani Tulionayo Izidi Kudumu Kwenye Taifa Hili” Sheikh Walid Ameyasema Hayo Wakati Wa Matembezi Ya Amani...
Huyu ni tajiri mwenye nyumba nyingi za kupanga.
Siku moja nikiwa barabarani, niliona duka la matunda lenye mazingira safi likiwa na viti na meza kwa ajili ya wateja.
Nilipofika pale, nilimkuta...
Msiseme Sijawaambia!
Fanya ulichokifuata kwake.
Ukimaliza mlipe ujira wake mliokubaliana.
Kama ahitaji ujira, basi mpe asante kisha rudi nyumbani kwako.
Kama wewe ni 'msafi' basi waweza anzisha...
Wakuu,
Ni zaidi ya miezi miwili sasa toka Chaula achukuliwe na watu wasiyojulikana, ambapo baba mzazi ameiomba serikali kama inamshikilia mtoto wake basi watoe taarifa wanamshikilia kwa kosa gani...
Hali ilivyokuwa asubuhi ya leo katika Kituo cha Mwendokasi, Kimara jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa mashuhuda, abiria waliamua kuingia barabarani na kusimamisha basi kwa nguvu, baada ya kukaa...
Ujumbe huu uwafikie wenye mamlaka wa kutoa maamuzi juu ya usafiri wa Mwendokasi.
Hali ilivyo sasa inatisha na kuzidi kuwa mbaya siku hadi siku kutokana na kuwa na mabasi machache yanayofanya...
Ushawahi kujiuliza kuwa wale watu waliokuwepo kabla ya dini yako kuja wataenda wapi? Mbiguni au motoni?
Dini inakufanya ukae mbali na Mungu wakati umekaa nae hapo pembeni yako.
Dini inakufanya...