Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wapendwa, leo kuna tukio la kustaajabisha lililotokea katika nchi fulani. Tukio hilo linafanana sana na kile ambacho Biblia inatufundisha kuhusu kuja kwa Bwana Yesu Kristo. Katika nchi hiyo, kuna...
12 Reactions
27 Replies
1K Views
Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani Mathayo 27:46 Na kama saa tisa, Yesu...
20 Reactions
245 Replies
7K Views
Nina waomba wanaharakati, vijana, vijana wa vyuo, wafanyakazi, wajasiriamali na wananchi wote kwa uzalendo wetu 29/10/2025 ni maandamano ya nchi nzima wa Tanzania wenzangu, tunapitia wakati...
6 Reactions
6 Replies
376 Views
YAH: OMBI NA USHAURI KUHUSU UFANISI WA OFISI ZA UMMA NA MAADILI YA WATUMISHI WA UMMA Mheshimiwa Rais, Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, nachukua nafasi hii kukuandikia barua ya wazi nikionesha...
3 Reactions
8 Replies
640 Views
Mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya wazawa iliyopewa ardhi katika ufukwe wa bahari ya Oysterbay jijini Dar es Salaam alalamika kuzungushwa kupewa haki yao ya kujenga hotel ya nyota 5 ya kitalii...
4 Reactions
15 Replies
778 Views
Leo Septemba 26, 2025 – Umesainiwa mkataba wa ujenzi wa Hoteli ya Nyota Tano ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA Africa Region) itakayojengwa katika eneo la Njedengwa...
2 Reactions
3 Replies
357 Views
Jeshi la Polisi Mkoani Tanga limesema litaendelea kushirikiana na waandishi wa habari,ikiwemo kuangalia usalama wao wanapokuwa kazini hasa kwa muda huu wa uchaguzi. Hayo yamebainishwa na Kamanda...
1 Reactions
3 Replies
228 Views
Sura mbili Samia, Magufuli kwenye mikopo Maelezo tofauti kuhusu zinavyopatikana fedha zinazotumika kujenga miradi mikubwa ya kimkakati yamekuwa yakiibua mjadala katika jamii, kuhusu ama ni za...
0 Reactions
4 Replies
768 Views
Mengine yoooote wanaombea nchi hii ifanikiwe kama vile eti wanaombea amani,uchaguzi,nk. Kwanini wasiombee nchi au wananchi wote wawe matajiri??
3 Reactions
9 Replies
371 Views
Kuna watu madeni yanawatia stress wanashindwa hata kula wakiyawaza wanaishia kufakufa tuwasaidie kwa kuwatajia madeni yetu ili wajione Hawapo peke yao. Nikianza na Mimi mwenyewe. 1. Mkopo wa...
63 Reactions
269 Replies
18K Views
Watumishi wote mnao husika na Serikali moja kwa moja TAKUKURU Tujitafakali Polisi Tujitafakal JWTZ Tujitafakali Magereza Tujitafakali Usalama wa Taifa Tujitafakali Watanzania TUJITAfakari! wote...
5 Reactions
7 Replies
371 Views
Walipoanza na Mch Mwakipesile (Kikosi chsa Injili) kupigwa, kuhasiwa, kuuliwa kwa mtoto wake hakuna aliejali na kila mtu alimuona kama mchungaji mwakipesile ni kama amechanganyikiwa, Hakuna...
7 Reactions
13 Replies
960 Views
Hii dawa ni nouma sana inzi, mende, kunguni , mbuu na n.k ukipulizia ndani hutoona mdudu yeyote akikatiza. Lkn pia nyoka hatoboi kwenye hii dawa hawezi kuingia ndani akisikia hii dawa akijaribu...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Hii duniani ya sasa ukisema unamtegemea Mungu pekee yake utakua msindikizaji hadi unaingia kaburini, Mungu mshukuru kwa kukuleta dunia lkn waja wakitaka kukuondoa wanakuondoa hata Kabla ya siku...
3 Reactions
10 Replies
705 Views
Wakuu naomba kuuliza Sta tv na Azam king'amuzi wanahujumu bbc swahili ?! Mara nyingi siku zenye habari nzito kwa hivi karibuni ikifika saa 3 usiku Star tv siipati kwenye kingamuzi changu.
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Vijana waliopata Mafunzo ya Kijeshi katika Kikosi cha Jeshi la kujenga taifa (843KJ) Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi wametakiwa kutumia vizuri matumizi ya Mitandao ya kijamii kwa faida yao na...
1 Reactions
4 Replies
254 Views
Serikali ya Mkoa wa Mbeya imeanza kutekeleza Mpango Maalumu wa upimaji maeneo ya Shirika la Utangazaji Tanzania TBC lililopo katika jiji la Mbeya, Utengule na Nsalala yaliyopo halmashauri ya...
2 Reactions
6 Replies
651 Views
Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) Dkt. Tulia Ackson ameelezea kuhusu Mradi wa CPA Ujenzi Hoteli ya Nyota Tano inayosimamiwa na...
1 Reactions
3 Replies
228 Views
Serikali badala ya kuwatafuta watu wenye ushawishi wa Maana ili waweze kutushawishi Sisi wenye uelewa mpana ili tukatiki oktoba wenyewe wanatuletea vichekesho kwenye jamii ya watu waliojeruhiwa...
8 Reactions
8 Replies
409 Views
Wanabodi Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuwa wateja wanaotumia mtandao wa simu wa YAS wanakumbana na changamoto ya kupiga simu kupitia namba ya huduma kwa wateja 180. TANESCO...
2 Reactions
2 Replies
461 Views
Back
Top Bottom